Hello, Guys najua wafanya biashara wengi sana hawana website na wanafikiri kuwa kwao kuwa na website yake (Online Store) kama haina umuhimu au kuona kuwa kumiliki website mpk uwe na biashara kubwa sana, sasa leo nataka niwape faida zakuwa na website yako (Online Store)
1. Kuaminika
Wateja...
Moja ya changamoto inawakumba wengi ni Window 10 Kuweza Kufanya Auto Update ambayo inaweza Chukua Bundle lako chap na Hii huwa inachukua zaid ya GB 2+ kufanya update, first time kutumia Hii Window nilijuata Kwakweli 😂 Maan nilipiga Window nikaweka Bundle langu nikasema wacha ni Download Program...
Unakuwa Unamiliki Hosting yako na unaweza fanya chochote Mda wwt, drop-shipping wengi wanatumia shopify ambayo ni web builder, so kuna tofauti kidg
i hope nitakuwa nimejibu swali
Je umekuwa ukitafuta mahali unaweza weka Miziki yako baada ya Kuweka Cover katika hiz Nyimbo ili ubrand jina au Website jina lake sasa karibu
KWETU CLOUD ni Kikundi ambacho kimeanzisha Panel itakayo weza Manage Nyimbo zako kwa usalama na Uliza, ni utafanyiwa installion free na utatumia Hosting...
Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa
Plan 1
2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE
Linux Ultimate ( $10.80 ) - 1 Year
Linux Ultimate ( $25.90 ) - 2 Year
Linux Ultimate ( $40.80 ) - 3 Year
Linux...
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema...
Jinsi ya Kujenga Blogu Inayofanikiwa na Kupata Pesa Mtandaoni 💨
Chagua mada unayopenda na inayoweza kuwa na hadhira inayoweza. Fanya utafiti kuhusu mada na mwenendo wa sasa ili kupata niche unayoweza kuandika.
Unda blogu kwa kutumia jukwaa kama WordPress au Blogger. Chagua jina la kikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.