Recent content by moses one

  1. M

    Siku ya kwanza kuanza shule

    wadau nakumbuka siku ya kwanza darasa la kwanza nilipewa sh 40 zote nlitumia kula sambusa maana vilikuwa vitu vigeni kwangu .....daah stasahau siku hiyo........vipi kwenu wakuu ilikuwaje siku hiyo?//
  2. M

    Madhara ya kutokufanya mapenzi

    kama upi???????// 22 yrs
  3. M

    Je, Muwa ni tunda?

    Wadau heshima kwenu, Tujuzane eti miwa ni matunda, chakula au ni vinywaji?
  4. M

    Madhara ya kutokufanya mapenzi

    mara kibao tu mkuu
  5. M

    Je kuna madhara ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu?

    Mimi ni kijana nina miaka 22.. Mpaka nafika umri huu sijawahi kufanya mapenzi ..nimekuwa nikiishia kuwataman madem kila siku ila kuwaambia naogopa. Vipi wadau hii ina madhara kweli? Na kama yapo ni madhara yepi? Msaada tafadhali
  6. M

    Madhara ya kutokufanya mapenzi

    Eti wadau, Mimi ni kijana nina miaka 22 nimehitimu kidato cha sita hivyo najliandaa kuingia chuo hivi karibuni. Sijawahi kufanya mapenzi mpaka umri huu, nimekuwa mwoga sana kwa wanawake, hivyo naishia kuumia tu. Vipi wadau nifanyeje, pia kuna madhara gani nisipofanya?
  7. M

    kati ya phamacy & clinical medicine

    wadau naomben msaada ....kwa diploma ya phamacy na clinical medigine ipi ni dili kwa miaka mitano au mbelen kwa ujumla........?
  8. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    hey walim hasa wa bios.,swali langu ni.."why blood cloating does not ocur in norma blood circulation"
Back
Top Bottom