Recent content by Moses Kyando

  1. Moses Kyando

    Makete kuangukia mikononi mwa CHADEMA

    Kwa nini unadhani watakuwa wamekosea?
  2. Moses Kyando

    Afadhali Kikwete kuliko Rais ajaye

    Hahahahahahahaaaa President Jakaya Mrisho Kikwete
  3. Moses Kyando

    CCM Itateua Mgombea wake wa Urais kutoka Zanzibar

    Licha ya hamu ya Wazanzibari kutaka muungano uvunjike lakini hilo haliwezi kutimia siku za hivi karibuni, suala rahisi kwao na ambalo litapooza kidonda cha Muungano ni kupewa nafasi ya kugombea urais kupitia CCM
  4. Moses Kyando

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Serikali sikivu serikali ya CCM ndiyo yenye kuleta neema hizi
  5. Moses Kyando

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Mambo yanazidi kuwa mambo habari hii sasa iko magazetini bado tu utekelezaji, Kimsingi sina matatizo na uwekezaji lakini yaliyomo ndani humo ni kama uuzaji wa nchi kwa kweli
  6. Moses Kyando

    Maalim Seif: Nikipewa uenyekiti niko tayari kuhamia CCM

    Ahsante Mwanafalsafa kwa kutoa msaada katika hili.
  7. Moses Kyando

    Maalim Seif: Nikipewa uenyekiti niko tayari kuhamia CCM

    Mkuu ni chama gani hicho kilichofungiwa, CCM au CUF? na hii picha hapa ina maana ndo ya Mheshimiwa Hamad Kuwaaga wana CUF!
  8. Moses Kyando

    Maalim Seif: Nikipewa uenyekiti niko tayari kuhamia CCM

    Kwa mujibu wa mahojiano yatakayorushwa Jumatatu na ITV, Maalimu Seif Sharif Hamad (Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar), amesema yuko tayari kujiunga na Chama Cha Mapinduzi, ikiwa tu atapewa nafasi ya Uenyekiti. Na kwa mujibu wake kwa sasa hakuna jambo la Msingi ambalo serikali ya CCM inafanya...
  9. Moses Kyando

    Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

    Kitendo cha Mheshimiwa Sugu kuandaa tamasha la Bure nyumbani kwake siku ambayo kuna Tamasha la Fiesta, na historia ya ugomvi wake na wamiliki wa Clouds ambao ndiyo waandaaji wa FIESTA, ni kuwagawanya wananchi kwa sababu binafsi na kujimaliza kisiasa. Najua kisiasa anaweza kutengeneza sababu za...
  10. Moses Kyando

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    "Nendeni nchi jirani au kwingine mkaangalie, mimi niliwahi kuingizwa ndani mchana kwenda kulala kutokana na hali mbaya ya usalama. Hapa kwetu Idara inafanya kazi kubwa, nchi imetulia," alizidi kuikingia kifua na kuwararua wakosoaji. Katika kuonyesha jinsi idara hiyo inavyofanya kazi kwa...
  11. Moses Kyando

    Hivi kwa nini Ghana inatajwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika?

    Nimesoma maoni yenu wadau nimeelimika sana na niwashukuru sana sana kwa mioyo yenu ya kutokuwa wanyimi wa taaluma (taalimu kwa mujibu wa Prof Sengo) lakini bila shaka nyote mmeona kutokana na maelezo kupingana ya wadau mbalimbali mantiki ya hoja hii. Ahsanteni sana
Back
Top Bottom