Recent content by mose_nd

  1. M

    Maombi ya Scholarships za China

    Gharama ya kuchangia ni pesa ya mwezi mmoja ya kujikimu utakayopewa China
  2. M

    Maombi ya Scholarships za China

    Nafasi ni za masters na Phd tu
  3. M

    Maombi ya Scholarships za China

    Mtu akipata hii scholarship atachangia pesa ya mwezi mmoja ya kujikimu atakayopewa
  4. M

    Maombi ya Scholarships za China

    Hii ni scholarship ya master na Phd tu
  5. M

    Maombi ya Scholarships za China

    Haulazimishwi mkubwa wangu, kama kigezo cha wewe kusoma ni kutokuwa na makosa katika uandishi basi endelea kutafuta. Pia nikwambie tu kuwa kutafuta makosa katika uandishi ni ajira ya mtu, so kitu hicho kinatokea sana. Kazi njema.
  6. M

    Maombi ya Scholarships za China

    Ofisi zipo Arusha kaka.
  7. M

    Maombi ya Scholarships za China

    *MAOMBI YA SCHORLASHIP - CHINA* >Kwa wale ambao mngependa kujiunga na masomo ya masters na PhD nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18 yaani kuanzia mwakani mwezi wa tisa ni vyema kuanza maandalizi yako sasa. Application zitaanza mwezi wa 10 mwaka huu hadi mwakani mwezi wa 3 tarehe 30. >Watu...
  8. M

    Some Linux Distros with DHCP issue

    Ndio Kaka, ni Linux (Fedora 23)
  9. M

    Some Linux Distros with DHCP issue

    Shukran ndugu. Usiku mwema.
  10. M

    Some Linux Distros with DHCP issue

    Hiyo ppp0 ya chini ni modem, ndo naitumia.
  11. M

    Some Linux Distros with DHCP issue

    Japo sipo kwenye network kwa sasa, ntatuma screenshot nyingine kesho nkiwa huko. Hapa nimetuma tu just in case it helps.
  12. M

    Some Linux Distros with DHCP issue

    Salama wadau, Nimetumia Distros kadhaa kama openSuse, Fedora, Mint, nk ila kwenye wired network zinashindwa kupata address, nkiweka manually inasema connected ila kunakuwa hakuna flow yoyote ya data. Tatizo nini labda?
  13. M

    Namna ya kuunganisha vyeti viwili?

    Tuma vyeti vyote kama unataka kusoma elimu ya juu, au shida yako unataka tu uwe na cheti kimoja?
Back
Top Bottom