Gabby 1728
Member
- Jul 11, 2016
- 38
- 10
Matokeo ya 6 ni lini kwan
Nafasi ni za masters na Phd tuVipi kunasafasi za bachelor degree next year???
Gharama ya kuchangia ni pesa ya mwezi mmoja ya kujikimu utakayopewa ChinaTunaomba kufahamu, unachaji tsh ngapi kwa hela ya Tanzania? Ukitaja utawasaidia wengi sana
watu wameshaandaliwa wewe hahaha tulia hivyo hivyo ng'aa macho watu wanatoboaDedline inakuwaje mapema hivyo wakati matokeo ya form six bado hayajatoka