Jehanam hakuandalia mwanadam ila shetani na wafuasi wake namaanisha hata mtu akiwa mfuasi wa shetani lazima ataenda jehanam nausijidanganye et nimesoma bible sijaona Jehanam ipo Ila kwa sasa mtu ukifa unaenda kwenye mangojeo kuzimu soma Luka 16:24....... huku wakisubiri Jehanam ambayo kwanza...
Nina A ya Biology, B ya chemistry na C ya Physics lakin napenda kwenda chuo na sio advance kwani nataka kuchukua clinical medicine ila sijajua vyuo gan vizur ninavyoweza kuapply diploma naomben mnisaidie jaman
Nina A ya Biology, B ya chemia na C ya Physics nimependa kwenda chuo na sio advance lakini sijajua vyuo gan vizur ambavyo naweza kuapply naomben mnisaidie jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.