Naomben ushauri kuhusu chuo kizuri cha serikali upande wa Afya!

Mose Plzzz

Member
Feb 1, 2018
6
1
Nina A ya Biology, B ya chemia na C ya Physics nimependa kwenda chuo na sio advance lakini sijajua vyuo gan vizur ambavyo naweza kuapply naomben mnisaidie jaman
 
Kasome diploma ya afya ila hawatumiagi matokeo ya form six


Matokeo yako ni mazuri. Kama unatakà omba VYUO VYA diploma kama IFAKARA
 
CO inakufaa, so tafuta vyuo vya COTC kama Kibaha, Mtwara, kilosa n.k... Ila kwa mida huu bado. Sasa kuna intake ya March/April kwa waliomaliza IV below 2017
 
Nina A ya Biology, B ya chemia na C ya Physics nimependa kwenda chuo na sio advance lakini sijajua vyuo gan vizur ambavyo naweza kuapply naomben mnisaidie jaman
Mm nipo tofauti kidogo...
1.Umepata matokeo mazuri kama hayo..probably upo okay,kama unajiamini kwa nn usiende pcb advnc ukaanze bachelor
2.miaka ya co ni mingi 3 ukilinganisha na ukienda advnc
Wengi huogopa pcb kulingana na msuli wake na mtu hujiangalia yy mwnyw usiskie maneno ya kuambiwa
Akili za kuambiwa changanya na zako
...Though ht advnc yakupasa uwe makini bt ht diploma pia ucpofanya poa degree ya MD utaiskia bombani asee
...kuna hii mentality ya dip ni rahisi bt ht huko wanalalamika c rahisi kwa sasa na kufeli kupo..
Lingine km mna ushindani kwny academic huoni kama kwenda diploma kunakupotezea mda wa kufikia ur target dreams(MD),besides kutakuweka kwny position ya sintofaham ya kukufanya ww kuendelea na degree kwa kua utakua unaweza kuwa kazini...na umri mkubwa plus mambo mngn yanakusubr
Hata mm kilinikuta km hio situation bt my stry ni ndefu mpk nmegmbn na wazaz wng bt thnks lord am ok now
Mwsho ni vema kujitathmn mwnyw,familia unayotokea,na malengo yako binafs ya baadae
Ni mm!
 
Nina A ya Biology, B ya chemia na C ya Physics nimependa kwenda chuo na sio advance lakini sijajua vyuo gan vizur ambavyo naweza kuapply naomben mnisaidie jaman
Nenda Advance uwe awarded form six inauzito sana utakuwa na privilege nzuri hapoo mbeleni ila jitaidi usipate four wala zero skuizi bila form six upati kozi za diploma huwa inaongeza nguvu sana katika kuchaguliwa kozi zozote konk za science hatuombei ila ikitokea umeanguka basi hata tatu ya advance nzuri na ukizingatiaa matokeo yako ya four mazuri nenda advance dogo usijalii
 
Back
Top Bottom