Naombeni ushauri kuhusu chuo kizuri cha Afya

Mose Plzzz

Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Nina A ya Biology, B ya chemistry na C ya Physics lakin napenda kwenda chuo na sio advance kwani nataka kuchukua clinical medicine ila sijajua vyuo gan vizur ninavyoweza kuapply diploma naomben mnisaidie jaman
 
Hebu jaribu KAM College au MASSANA Mkuu kwani nimepata kukutana na Watu kadhaa waliopitia hivyo Vyuo na wanafanya vyema hapo walipo na wanavisifia mno hivyo Vyuo viwili nilivyovitaja.
 
Nivya Serikali au Private Kka
 
Nina A ya Biology, B ya chemistry na C ya Physics lakin napenda kwenda chuo na sio advance kwani nataka kuchukua clinical medicine ila sijajua vyuo gan vizur ninavyoweza kuapply diploma naomben mnisaidie jaman

Hongera sana kwa matokeo mazuri na maamuzi mazuri ya kuamua kwenda chuo kwani kwenda advance ni kupoteza muda.

Kila la kheri.
 
ufaulu wako ni mzuri nenda vyuo vya serikali tu kwa kozi ya clinical medicine na nursing ni lugalo,mtwara cotc,lindi cotc,kibaha cotc,kilosa cotc, masasi, Kigoma cotc, Sumbawanga cotc.

Kwa kozi ya dentist kuna tanga bombo amotc,mbeya amotc,

kwa kozi ya lab technician ni singida lab tech,tanga amotc vingne nimesahau
kwa kozi ya pharmacy kuna muhimbili,st francis na mtwara cotc
 
Back
Top Bottom