Recent content by MOROVIAN

  1. M

    JamiiForums Tanzania President Samia Suluhu Hassan will receive another honorary doctorate in aviation management from Korea Aerospace University (KAU)

    Semeni ukweli Pesa hakuna Mishahara yenyewe iko kama maji ya Dawasa Ni mwendo wa kukopa tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

    Jamani watu sijui mnalipwa bei gani na huyu Bwana Lowassa, hivi tumia utashi wa akili yako na elimu yako kidogo uliyo nayo kupembua mambo: Hivi uliona wapi mtu akitumia nguvu nyingi kiasi hiki kutafuta madaraka, mtu wa namna hii hana nia njema kabisa na taifa hili! acha urais ukufwate wewe na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDSM : CHUO CHA 13 KWA UBORA AFRICA. TANZANIA NI NCHI YA NNE AFRICA Kwa Chuo Bora.

    Mi nilijua labda ni Teofilo Kisanji University nd imekuwa ya nafasi hiyo, maana ni chuo pekee EA kinachowapangia 1.wanafunzi wake mavazi ya kuvaa, tshsirt, jeans..No 2.chuo pekee kinacho amrisha wanafunzi wake walipie Tshs 40,000 kwa kila Carry over course 2.Chuo pekee ambacho kinatoa...
Back
Top Bottom