Recent content by morjayjo

  1. morjayjo

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sizani kama logo inachangia kuwa na matokeo morgnsety@gmail.com
  2. morjayjo

    JamiiForums Tanzania Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Sasa kikararasi kina bandikwa kwenye nguzo ya umeme kama cha waganga wa kienyeji so unafikiri kutakuwa na kazi inayo endana na matamanisho yao kiufupi huwa wanabandika vipeperushi kama vile kuwataka wajinga na wanaotaka kitonga kiutani unaweza sema ni kwaajiri ya mafisi. Pole sana...
  3. morjayjo

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anaeweza kufanya kazi yeyote wakati wa free time aje inbox

    Sorry ww ni job solution au office yako ndiyo inayo hitaji watu wenye fani tofauti au yoyote naomba nikuelewe vizuri pia samahani kwa usumbufu. morgnsety@gmail.com
  4. morjayjo

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Mimi nafikiri CV haimaanishi kukutaka uwe na ukimo wa maelezo hapana bali unaandika maelezo yoyote ktj utendaji ambayo ulisha wahi kufanya ktk utendaji wako sehemu tofauti tofauti maeneo yake na uzoefu wako ktk vipindi tofauti na barua bila shaka huwa inasimamia ktk imbi zaidi na lengo la barua...
Back
Top Bottom