Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

mbaga jr

JF-Expert Member
May 28, 2018
5,078
2,000
naomba kuuliza

kama kampuni imetoa ajira, na kwenye hizo ajira kuna nafasi mbili unaweza kuzifanya.!

je, utaandika barua moja kusema unaweza hizo kazi mbili au utaandika barua mbili na kila barua ikisema nafasi husika.?
 

morjayjo

New Member
Feb 23, 2020
4
20
Mimi nafikiri CV haimaanishi kukutaka uwe na ukimo wa maelezo hapana bali unaandika maelezo yoyote ktj utendaji ambayo ulisha wahi kufanya ktk utendaji wako sehemu tofauti tofauti maeneo yake na uzoefu wako ktk vipindi tofauti na barua bila shaka huwa inasimamia ktk imbi zaidi na lengo la barua nikutaka kujua mwombaji uwezo wake hasa kiufahamu ndii maana barua nyingi zina pendekezwa kuandikwa kwa mkono.

morgnsety@gmail.com
 

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
1,708
2,000
Cv yangu siku zote inakuwaga na page nzima ya PROJECTS hapo huwa naelezea viproject vyangu na jinsi ya kuviimplement kazini thank God nimeitwa kwingi kwenye interview kutokana na hizo projects nnazoandikaga....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
22,614
2,000
Acheni mboyoyo mingi, najua wengi mmesoma na ku graduate na mpo mlioajiriwa.
Dogo amekiri kweli ni kilaza ndio maana kaja kuomba shavu. Cha msingi mtumieni cv zenu kama templates hata mkiweka majina feki na namba za magari haitadhuru. Walau adese maana ndicho hasa anachokitaka tusijifanye watu wa kuponda sana
 

vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
534
250
naomba kuuliza

kama kampuni imetoa ajira, na kwenye hizo ajira kuna nafasi mbili unaweza kuzifanya.!

je, utaandika barua moja kusema unaweza hizo kazi mbili au utaandika barua mbili na kila barua ikisema nafasi husika.?
maamuzi ni yako either uandike barua moja ya kazi ambayo unajua uko vzuri zaid au uandike barua za kaz zote mbili kama zinaendana na ulichosomea

Sent using Jamii Forums for iPad.
 
Top Bottom