Kwa hiyo ndoa Ya kiislam inafuta zingine zilizopo kisheria? Kwa hiyo unaweza kumzulumu muislam Mke na kwenda kufunga nae ndoa kwenye ukristo na muislam akafanya Hivyo kwa mkristo na isiwepo shida kisheria? Kwa ufahamu wangu mdogo kisheria ndoa yoyote iliyofungwa ktk dini yoyote ile...
Well, hoja Ya kwanza ni kuhusu tamaduni zetu na sio sheria , Baraka za wazazi zinahitajika
Hoja Ya pili ni kisheria, unaweza kufunga ndoa nyingine huku ile ya kwanza haijavunjwa?
Amesema kuwa anazungumza Kwa minajili Ya kisheria? Anawakilisha tamaduni zetu za kiafrika ,ndio maana mzazi anapomkataa mchumba ni tatizo harusi inakua ngumu kufanyika unless Ulazimishe Kwa nguvu, pia uwoya ameingia mkataba Mpya huku ule alioingia mwanzo na ndikumana haujavunjwa , uwoya...
Hi guys
Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro...
Guys habari zenu,
Tangu nimejiariwa hapa kazini nimekua na urafiki na boss wangu na ndie alienileta hapa kazini, sina mapenzi nae kutoka moyoni, ni sababu ya hii kazi ndio maana nipo nae ameshawahi kunitisha mara kadhaa kuwa nikimwaga mboga anamwaga ugali, hata hivyo sina mpango huo bado...
Hi guys, niaje?
Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa Karani na huku kupya mimi ni Supervisor.
Sasa huyu Boss alieniingiza...
Iwapo una mme mmeishi wote kwa Muda flani, kutokana na mme kupoteza uwezo wa kukuhudumia unaamua kuachana nae, anakubembeleza mwendelee, unakubali, hata hivyo huduma inaendelea kuwa ya kusuasua sana, baadae inagundulika pia hana uwezo wa kuzalisha mwanamke,
Kwa kuwa hayo matatizo mawili ni ya...
Yah alijua ana matatizo lakini alificha
Sasa hivi huu ndio mgogoro mkubwa unaotusumbua
Ana wivu kama nn hataki kabisa hata niongee tu na mtu wa jinsia tofauti hata kama ni ndugu
Kwa majibu haya msg yangu kwako imekua delivered, imekugusa penyewe
Next time be a gentleman ulivyoanza kunitukana ulidhani nitakuangalia tu
Shule huwa mnaenda kusoma nn? Ujinga
Mtu ameweka uzi wake halaf unakimbilia kutukana halaf ulitegemea nikuchekee? Lazima nikutukane pia thats what...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.