wakati magufuli anasema tupige mbizi mm nilikuwa mwanafunzi wa ifm. niliumi sana kutokana na kauli yake hiyo kwani nilikuwa sina hela kabisa. sasa leo amekuja kuniomba kura yangu natamani hata nimpige na mavi.
Huyu mpole pole ni nani katika njii hiii. Je anaupeo wa kufikiri kuliko nanii? Yeye anakiri wazi kuwa n kada wa CCM anakula na kuvaa analipa kodi kwa hela za ssim sasa unategemea aongee nini?
Sasa kwa alimfuruki ana piga kura ngapi??? Si moja kama mimi. Alafu kura huwa ni siri ya mtu kwanini atangaze kura yake? Hata angekuwa kama bill gate anapiga kura moja tuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.