Recent content by morachax

  1. morachax

    JamiiForums Tanzania Irrigation engineering!!!!!

    asante mkuu
  2. morachax

    JamiiForums Tanzania Irrigation engineering!!!!!

    jamani naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ubora kabisa
  3. morachax

    JamiiForums Tanzania Mati - Igulusi

  4. morachax

    JamiiForums Tanzania Mati - Igulusi

  5. morachax

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Habarini wana jf. Samahani naomba kujua kati ya hz course zitolewazo hapo sua ni ipi ambayo ina future zaid kuliko zingine kulingana na hali halisi ya maisha ya sasa.. Course hzo n general agriculture, land use planning, agronomy, irrigation eng.
  6. morachax

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kasome Tcu Guidebook
  7. morachax

    JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli wa kielimu,tuupige vita

    umenikumbusha mbali sana na ukweli mtupu, chuo cha st joseph tawi la songea kilivo bora hata shule za msingi za bush huko lakini kwenye website yake wameweka ghorofa ambalo ni chuo kilichoko dsm hasahasa college of information tech ukifika utajua kuwa tz kuna vyuo bwana.
  8. morachax

    JamiiForums Tanzania Kwaheri UDSM

    pole sana mkuu. ulichosema namkumbuka mwalimu wangu mmoja aliwahi tuambia cku moja class kuwa, shida mnazozipata shuleni hapa ni kutokana na umaskin wa wazaz wenu hivyo mnatakiwa kusoma kwa bidii ili na watoto wenu baadae wasije laumu kuwa tunapata taabu kutokana na umaskin wa wazaz wetu, take...
  9. morachax

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Wasomi Tanzania ni tegemezi

    ni kweli elimu ya sasa kila mtu anasoma huku anawaza kuajiliwa tu hakuna anaewaza kujiajili au kuajili wengine. Na hii ni kutokana na mfumo mbovu wa elimu ambao kweli ni tegmezi. Tujifunze kwa msanii nick wa pili aliyeimba*form six,degree hadi masterrr staki kaziiii nataka nitafutwe na...
  10. morachax

    JamiiForums Tanzania Nitapokelewa kweli chuoni?

    nilituma email chuoni kuwataarifu but week iliyopita na kuhusu joining instructions haijaelezea kwa watakaochelewa zaid ya kusisitiza kuwa usipokuwa na michango kamilifu hupokelewi.
  11. morachax

    JamiiForums Tanzania Nitapokelewa kweli chuoni?

    nilituma email chuoni kuwataarifu but week iliyopita
  12. morachax

    JamiiForums Tanzania Nitapokelewa kweli chuoni?

    nashukuru kwa kunitia moyo maana nilijawa hofu
Back
Top Bottom