Sijajua vizuri kuhusu hizo nchi nyingine ulizozitaja ila Kwa upande wa Congo DRC na Zambia Nina uzoefu nao nimeishi nao Kwa kiasi nawafahamu
Wanawake wa DRC Wapewe maua Yao kiukweli wanajua sana kujiheshimu na suala la uzinzi kwako aisee nimeishi nao sana Kwa kweli ni ngumu mno kumkuta...
Duuuh Loss to your parents
Kama walidhani wamezaa MWANAUME .
Jifunze ku move on , acha kujishusha thamani kwa kumludia Malaya aisye na future hata ya maisha yake
Ni kweli na wanahoja ya msingi
Na hata Mimi binafsi namuona Lissu kama anaumamluki fulani hivi
Lakini mbowe pia ana kaudikteta Fulani
Shida ni kwamba Kwa Kuwa mbowe ameonyesha kuuza chama Kwa watawala na chama kimepoteza mvuto basi hana budi kumwachia mwenzie
Kama tuihubiri DEMOKRASIA ya kweli Nchini,
Tusisite kumwambia ukweli Mbowe asisite kuachia kijiti Cha uongozi Kwa wengine.
Kama aliaminiwa na waasisi waliomtangulia yeye hana budi pia kuwaamini wengine pia
Kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa kiujumla TUNAENDA NA LISSU
Kiukweli kupitia andiko hili la Ndg Yericko nimejifunza mengi lakini niseme tu Alama za nyakati zimeshamgomea Mbowe kufurukuta mbele ya Lissu Mtu katangaza Nia hata wiki haijaisha angalia povu linavyowatoka
Umeandika Nini mkuu ? Mbona ni kama unajaribu kupotosha ukweli
Vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa na serikali na vinapewa ruzuku ambayo ni Kodi ya wananchi ya wananchi ni vya wananchi wote .
Ndiyo maana hakuna chama Cha wanachama bali vyama vyote ni Mali ya umma
Ndo maana unaweza ukawa...
Samahani kama sitakufurahisha Kwa ushauri wangu ,
Hizi ajira zinapaswa kuangaliwa Kwa mapana yake la sivyo unaweza ukaishi maisha magumu isivyo kawaida. Hakuna sababu ya kuendelea kufikiria ajira
Angalia nje ya box mbona watu wamejiajiri na wanafanya maisha safi yanaenda
IF YOU DON'T LIKE...
Familia nyingi Zina migogoro mikubwa sana , na ukiifuatilia vizuri mingi kati ya hiyo husababishwa na wazazi.
Tupo kwenye wakati ambao ndugu zetu wa karibu/wazazi ndo maadui zetu wakubwa kuliko watu Baki ,
NI VILE TU WATOTO HATUSHINDANI NA WAZAZI
Ifike wakati tukubali kuto kukubaliana kifikra hatuwezi kufanana . Si Kila unachokiona muhimu kwako kitakua muhimu pia Kwa wengine .
We are not the same and we will never be the same
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.