Naomba kwa anayejua anifafanulie maana ya usalama wa taifa nini? Je, ni viongozi wa juu au nini? maana utasikia kama Mh Rais anaenda sehemu unaambiwa usalama wa taifa umejaa sehemu hiyo sasa kama hakuna kiongozi anakuwa sehemu fulani usalama wa taifa haupo au vipi? naomba kwa anayejua ABC's...
Imeandikwa wapi kwa sheria ipi kwamba lazima ufanikiwe ukiwa na under 30?mafanikio ya mtu ni kutoka hatua moja kwenda nyingine mfano hukuwa na kitanda sasa unakitanda.taratibu mpaka mwisho wa Maisha yako lakini kuridhika kabisa kwa sasa inatosha haipo.ndo maana hata wakina bill gate ambaye hata...
Kama ofisi yake si anaajiri atakavyo yeye? Je? Wewe ni mhaya kama sio maandishi yako hayana rojiki. Mwache wivu peleka watoto shule wasome bado ajira zetu zinatolewa kwa vyeti so wenye navyo watazipata hata liwe kabila moja.mfano watu wa mara walijaa jeshini na polisi kwa kuwa ni wajasiri lakini...
Danganya wasio ijua tanzania kama wewe unayefokiri dar ndo tanzania mimi kidogo nimefika miji tofauti ninaijua.bukoba huwezi fananisha na hizo sehemu.be critical thinker.stand haijajengwa ndio lakini sio kigezo cha kulinganisha .kama ni hivyo bado tanzania tuna safari ndefu ya kuelewa mambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.