nimemaliza udom na nipo nondo kumzid hata aliyemaliza havard aliyewadanganya chuo kikuu watu wanaenda kufundishwa ndio kawaingiza chaka kubishana chuo gan ni udom na udsm cwatofautish na wale wanaobishana nan kaanzisha kiduku....pumbav kuwa nondo kwa mtu hakuhusiani kwa namna yytr na chuo...
wakuu kwa mwenye kujua wapi nawezakupata soko la uhakika la mmea ambao hutumika kama tiba na viungo vya nyama na mapishi mbali mbali unaotambulika kama ROSEMARY PLANT....natanguliza shukran
aliwahi kusema masaburi juu ya watu wanaowaza kwa kutumia MAKALIO...unamsema jk kwa udini ila udini wako ww umeanzia kwenye fikra zako..unadhani wanaopita humu jf ni masalia wenzio wa ubatizo wa maji ya chumvi tu? pppumbbavv.... hiiyo point yko ipeleke kwenye topic za dini sio hapa watu...
huna cha kujadili toa jipya ....kama kuuza nyumba kwa serikali ni haramu basi shirika la nyumba la taifa lisitishe mpango wa ujenzi na uuzaji wa nyumba za gharama nafuu kwa watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.