Recent content by Moonsoon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aanza kuwaaga wanachama na wafuasi wake kwa huzuni na hisia sana. Je, ameshajua mwisho wa kesi yake na haki yake anayostahili?

    Haifai kwa muislam kutetea dhulma. Mtume ﷺ amesema: katika hadithi iliyopokelewa na swahaba Abdullah Bin Umar رضي الله عنه "Msaidieni ndugu yenu, awe dhalimu au kudhulumiwa." Maswahaba wakashangaa: “Ewe Mtume wa ALLAH tutamsaidiaje dhalimu?” Akasema: "Kwa kumzuia asifanye dhulma." (Bukhari na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Sera zao, katiba yao na wana wana taasisi imara, Sisi hapa sijui kwenye sera tupo vipi, Ama katiba tunayo ya GOD SAVE THE QUEEN ( katiba ya President ndio kila kitu, ya kenya President RUTO si kila kitu.) Taasisi zetu ni Mfu- Bunge la Serkali Mahakama ya Serkal na Serkali ndio kila kitu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

    TAL sio Freeman
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna muarabu wala muislamu duniani anaweza kupambana na Israel pale mashariki ya kati kwa sasa

    Vitu vingine huwa vinasababishwa na ufinyu wa kujua masiala (UJINGA). Inapendeza sana kwa ile dhana iliyojengeka kuwa JF members ni Critical thinkers atleast ungefanya katafiti japo kadogo kusuhu lile unalotaka kulihudhurisha katika uwanda huu. Ama kama hujui , Achana na Persian & arabian...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    Nadhan kwa miaka ya hivi karibuni naoma awamu hii huenda ndio awamu mbovu zaid toka uhusu administratively. Yaani ni kama kila kitu kiko collapsed
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Bhange haraam
  7. M

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Qur'an haikushushwa kama kitabu kutoka Mbinguni bali malaika JIBRIL (alayh salaam) ndiye aliyekuwa akimfundisha MTUME kisha yeye akihifadhi kichwani na kuwafundisha MASWAHABA zake. Na MALAIKA alikuwa akija kumfundisha mara kwa mara kwa kipindi cha miaka 13. Kwahiyo si kuwa Quran ilishushwa kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndio meli ipite salama maeneo ya Houthi, lazima itangaze kwamba kila mhudumu humo ni Muislamu

    Mkuu hivi una habari kuwa Makafiri ndio wameziharibu Libya, Afghan,Iraq, Syria, Lebanon ,Palestine na sasa ndio wanaoendeleza fujo kwa Mashia wa Tehran? Uislam ni Mzuri na umetufundisha kuishi na Yoyote, na unatuzuia vikali kuanzisha vurugu. Unaweza nitajia Nchi moja tu ya nilizitaja hapo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Nadhan mwanadam hupitia mapito mengi na huwa anayo nafasi ya Kurekebisha sehem ya makosa. Pole pole for sure mimi nimefarijika mno kwa pole pole kujiziuzulu regardless kuwa ni mwisho wa muhula wa Raisi aliyepo madarakani. Na namkubali sana huyu Mtu. Nadhan chapisho lako lingekuja kabla ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

    Na Wewe Ficha wako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Hayo yanabaki kuwa Mawazo yako na nadharia isiyoweza kutimia. Sijajua upo wapi lakin uislam unasomwa na unaendelea kusambaa kwa kasi kuliko karne zilizopita, Wakati wewe una mashaka juu ya Uislam kudidimia na kupotea katika karne hii wazungu wanaumiza vichwa juu ya kasi ya kuenea kwa uislam...
Back
Top Bottom