mi nimeamua nianzishe mradi wangu wa kufuga kuku wa mayai, na kwa siku sasa hivi naokota trei 14 na trei moja ni 8000 hadi 8500..piga mara siku 7 za wiki ni 56,000, piga 56000×4weeks=244,000 nikitoa matumizi, chakula cha kuku
elfu 50, usafiri elfu 20 na matumizi madogo elfu 30 nabakiwa na...