Recent content by montroll

  1. montroll

    Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Laiti serikali ingekuwa ya watu kwa ajili ya watu, PM alitakiwa ajiuzulu kwa hiari au kwa lazima, baada tu ya mazishi Chato.
  2. montroll

    Rais Magufuli atoa Bilioni 31 kupeleka umeme vijiji vyote Ruvuma

    Pengine ndio maana Siejii anakuwa frastretedi, kummbinya asiyaseme haya majamboz
  3. montroll

    Mbunge wa mchinga (CUF) aeleza biashara ya ununuzi wa wabunge yeye alihaidiwa mil 200 na unaibu waziri

    NA KASKAZINI MWA MTO LIMPOPO! hili eneo ni zaidi ya kichefuchefu.
  4. montroll

    Hivi Rais Magufuli alitudanganya aliposema kuwa yeye hajafadhiliwa na mfanyibiashara yeyote katika kampeni zake?

    isipokuwa nji hii, kwani wanainji hii wamefanywa cows nao wamekubali kuwa cows! kuanzia wajiitao wasomi hadi wasiojua a wala be.
  5. montroll

    Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

    Atapewa anazopenda na walio mpa hapo mwanzo, ila this time ataulizwa unataka ngapi ewe jiwe kuu? nao watampa kuzidi kidogo tu ya hizo!
  6. montroll

    Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Duh! hii sasa kali kuliko, kweli tunafanywa mazuzu kiasi hiki? Hapa tunaongelea share ya 100% ya 20% ya mfanyakazi wala si kutupotosha. jumla ya monthly 20% zote za mfanyakazi= 100% ya makato yake yote hadi anapo acha/staff kazi.
  7. montroll

    Tutarajie nini Pale Jeshi litafanya kinyume na maagizo ya Rais kwenye suala hili la Korosho?

    Kwa taarifa yako sasa hivi hiyo ni ishu ya kiusalama zaidi! no more discussions/follow up on it. Umesahau habari ya ile meli yetu? Operations za kijeshi( sio polisi) hazijadiliwi hovyo hovyo mkuu. sasa ni usalama zaidi.
  8. montroll

    Musiba asiivuruge CCM, ni aibu Shirika la Umma (ATCL) kufadhili Gazeti lake

    Wakati mwingine hao huwa chanzo cha mabadiliko KwA nguvu ya umma! Huwatia watu hasira wakasema liwalo Na liwe! Hapo hakuna cha jeshi wala polisi, kinachofuata ni kuheshimiana. Acha waandishi hao Na waajiri wao waendelee tu, ili waiharakishe hiyo siku. Muhammad boodia aliwahi sema hivi -right is...
  9. montroll

    Musiba asiivuruge CCM, ni aibu Shirika la Umma (ATCL) kufadhili Gazeti lake

    Naam, je Iraq hawakuchoma Bendera Na kuchoma masanamu ya yule aliyedhani ni mpendwa? Je walijua wakati huo utafika? Amin amin nawaambia, KwA jinsi hii wakati huo unaharakishwa sana sasa! Ole wao waliotiwa upofu KwA madaraka Na mamlaka wasisome alama za nyakati.
  10. montroll

    ATCL yarejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA). Sasa kuuza tiketi dunia nzima

    Hapa ndipo mnapokosea, mnalazimisha kuligawa taiga kwenye mambo muhimu ya kitaifa. Chadema ni chama cha umma, je mnataka wanachedama wote wasipende mafanikio? Mbona mnataka kujimilikisha kila kitu nyinyi? Huo ni mtazamo finyu sana.
  11. montroll

    ANGALIZO: Tukubali lipo tatizo pahala tujisahihishe tulipo jikwaa juu ya umoja wa taifa letu

    Hoja iliyo mezani ni nzuri,nzito na ya maendeleo na ustawi jumuishi wa kitaifa, wewe unaleta upuuzi tuu hapa! aibu iliyoje kwa walimu,walezi,wazazi,waajiri na marafiki zako? akili yako imefanywa nini wewe? huyo anaye kutumikisha sasa hivi: kiakili,kimwili na kimawazo hawezi kuwa mtu mwema...
  12. montroll

    Kumbe Rais Magufuli kadanganywa kirahisi sana suala la gawio

    Kwani si hata W.A.B.U.N.G.E pale D.O.M. walitoa gawio? au ilikuwa nini ile? halafu baada ya hapo shughuli zao nyingi nasikia hazikwenda sawasawa kwababu ya U.K.A.T.A. This is in accordance to the principle of B.U.N.GE as written,confirmed and accepted by our elects at D.O.D.O.M.A
  13. montroll

    Wassira: Zitto, CCM hatukuwahi kujadili waraka wa KKKT katika Vikao vyetu

    Kuna siku watasema "aliye ongea ni JPM siyo prezidaa"!
  14. montroll

    Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Nakumbuka kumuona mkuu wa wa mkoa luningani akikanusha wafanyabiashara kuhamia zambia!
Back
Top Bottom