Tutarajie nini Pale Jeshi litafanya kinyume na maagizo ya Rais kwenye suala hili la Korosho?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Wana Jukwaa,
Tayari Mhe, Rais amekwisha toa agizo/order kuwa suala la korosho litasimamiwa na Jeshi la Wananchi chini ya JKT.

Tumeshuhudia Waziri wa kilimo na Waziri wa viwanda/biashara wametumbuliwa kwa kushindwa kuendana na matarajio ya Rais.

Rais ameliamini sana Jeshi na kuipa imani kubwa kuwa linaweza shughulikia swala hili kwa ufanisi mkubwa.

Mi nina wasiwasi mkubwa sana pale Matarajio ya Rais yasipotimizwa kama anavyotaka.

Je ikitokea Rais hakufuraishwa na utekelezwajwi wa operation hii ya Korosho na Jeshi letu, tutegemee nini??

Je Bado Rais atakuwa na imani na Jeshi letu??

Hatari.
 
kama vita ya idd amin ilikua nyepesi basi ya korosho haiwezi kusumbua...

Unaliwazia JESHI kushindwa..!? Halafu JESHI lenyewe la NCHI YAKO au diaspora wewe!?
 
kaka Rais ni amiri jeshi mkuu,akitoa kauli ni lazima ifanyike kama alivyoagiza,hilo lakwako halitakaa wala haliwezi kutokea,so rest assured kwamba kila kitu kitaenda as per plan
 
Acha unabii wewe!! Toka lini jeshi letu likashindwa na tangu liundwe halijawahi kushindwa? Tuna imani na jeshi letu na uache kisabengo chako hapa
kama vita ya idd amin ilikua nyepesi basi ya korosho haiwezi kusumbua...
Unaliwazia JESHI kushindwa..!? Halafu JESHI lenyewe la NCHI YAKO au diaspora wewe!?
kaka Rais ni amiri jeshi mkuu,akitoa kauli ni lazima ifanyike kama alivyoagiza,hilo lakwako halitakaa wala haliwezi kutokea,so rest assured kwamba kila kitu kitaenda as per plan
TATIZO NI KUWA WENGI EITHER HAMJAMUELEWA MLETA MADA AU MMEAMUA KUJIBU KISHABIKI. MLETA MADA HAKUNA MAHALI KASEMA JESHI LITASHINDWA, ILA ALICHOULIZA NI KUWA JE KAMA ITATOKEA JESHI HALIJAFANYA KILE ANACHOTARAJIA RAIS KIFANYIKE ITAKUWAJE?
 
Pengine we unajua sana kiswahili kutuzidi...
 
Haiwezi kutokea JKT ikashindwa hiyo kazi na haitotokea mkuu toa Shaka kabisa..... Ila TU vijana wajiandae kutumika haswa awamu hiii....

Wale wa ukuta nasikia washaajiriwa Kama ilivyo ahidiwa.
 
Wana Jukwaa,
Tayari Mhe, Rais amekwisha toa agizo/order kuwa suala la korosho litasimamiwa na Jeshi la Wananchi chini ya JKT.

Tumeshuhudia Waziri wa kilimo na Waziri wa viwanda/biashara wametumbuliwa kwa kushindwa kuendana na matarajio ya Rais.

Rais ameliamini sana Jeshi na kuipa imani kubwa kuwa linaweza shughulikia swala hili kwa ufanisi mkubwa.

Mi nina wasiwasi mkubwa sana pale Matarajio ya Rais yasipotimizwa kama anavyotaka.

Je ikitokea Rais hakufuraishwa na utekelezwajwi wa operation hii ya Korosho na Jeshi letu, tutegemee nini??

Je Bado Rais atakuwa na imani na Jeshi letu??

Hatari.

Kwa taarifa yako sasa hivi hiyo ni ishu ya kiusalama zaidi! no more discussions/follow up on it. Umesahau habari ya ile meli yetu?
Operations za kijeshi( sio polisi) hazijadiliwi hovyo hovyo mkuu. sasa ni usalama zaidi.
 
Kwani wameshaanza Mimi sijawaona hapa. Kumbuka wao ni wasombaji tu lakini wanunuaji ni wengine, hivyo lolote lawezekana labda!
 
Mtoa mada nae hajaielewa hii operation. Kazi ya Jeshi ni kuhakikisha korosho ziko salama kuelekea kwenye maghala ya Serikali. Baada ya kuwa imenunuliwa kwa wakulima. Jinsi zitavyouzwa sio jeshi tena.
 
Anafukuza jeshi zima halafu anateua wengine. na hao wengine wakishindwa anatengua na hao pia halafu anateu wengine tena. Mzee ni bigwa wa sarakasi, akimaliza miaka yake kumi bora aanzishe mradi wa circus.
 
Sasa mtasikia Wadosi wanacheza dili na wanajeshi, na hawa jamaa zetu walivyo na njaa ni lazima waingie mkenge. Serikali itanunua kwa 3000 halafu mjeshi anashusha mzigo njiani kwa 1000.
 
Wana Jukwaa,
Tayari Mhe, Rais amekwisha toa agizo/order kuwa suala la korosho litasimamiwa na Jeshi la Wananchi chini ya JKT.

Tumeshuhudia Waziri wa kilimo na Waziri wa viwanda/biashara wametumbuliwa kwa kushindwa kuendana na matarajio ya Rais.

Rais ameliamini sana Jeshi na kuipa imani kubwa kuwa linaweza shughulikia swala hili kwa ufanisi mkubwa.

Mi nina wasiwasi mkubwa sana pale Matarajio ya Rais yasipotimizwa kama anavyotaka.

Je ikitokea Rais hakufuraishwa na utekelezwajwi wa operation hii ya Korosho na Jeshi letu, tutegemee nini??

Je Bado Rais atakuwa na imani na Jeshi letu??

Hatari.
Hao hata wakivurunda atamezea
 
Back
Top Bottom