Recent content by Monika2

  1. Monika2

    JamiiForums Tanzania Fursa adimu ni buree kutoka kwa mwanajamiiforums mwenzetu Cumins

    Hapo anayejiunga anatakiwa kuwa na sifa gani ?
  2. Monika2

    JamiiForums Tanzania Siombi Kazi tena kupitia JamiiForums

    Usifikiri kila mtu anakupa hiyo nafasi Huko pm kuna mengi,shukuru tu uendelee kutafuta polepole
  3. Monika2

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi yoyote ya halali

    dada kuwa makini nimetafuta kazi humu kwa miezi kadhaa Ila ninachokutana nacho ni mitihani Mtu atakuomba namba picha na kuitwa hotel Ukizubaa umeliwa. Kila la heri.
  4. Monika2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    Wapi mkuu nije ?
  5. Monika2

    JamiiForums Tanzania Work on Dar es Salaam bus rapid transit to resume

    Hizi nafasi zinapatikanaje jamani tujisogeze?
  6. Monika2

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia pregnancy

    P2
  7. Monika2

    JamiiForums Tanzania Mnaoshauri mtu anaetafuta kazi aanzishe biashara bila kujua mazingira yake mnakera

    Mkuu mambo yangekua yananyooka hivi hata tusingelia lia Hiyo 100,000 Kuipata miaka kadhaa ijayo Asante kwa ushauri.
  8. Monika2

    JamiiForums Tanzania Mnaoshauri mtu anaetafuta kazi aanzishe biashara bila kujua mazingira yake mnakera

    Kwa mfano mimi,nimeuza chapati ila hazina faida zaidi ya 50 Kulinganisha na hali ya maisha kueza kusave ni ngumu Vitafunwa vingine madukani wanakataa wanachukua kutoka kwa bakhresa Hili la matunda inabidi kuwa hata na kimeza hauwezi kuuzia chini Kuna kipindi nilitafuta 20,000 Ya kuanzisha...
  9. Monika2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    sawa asante dadaake
  10. Monika2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    Asante,unikumbuke na kwenye ufalme wako best
  11. Monika2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    INabidi kuwavumilia jamani humu kuna watu wana majivuno na dharau ila yatapita.
  12. Monika2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    Kuanzia 50,000/=kwenda juu
  13. Monika2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    Nikifanya kazi ndiyo napata mtaji,saa hiz hata ndugu hakupi mtaji.
  14. Monika2

    JamiiForums Tanzania Msaada marafiki zangu nitakufa mimi jamani

    Na mimi nitalipa mkuu
Back
Top Bottom