Msaada: Natafuta kazi yoyote ya halali

Msaada: Natafuta kazi yoyote ya halali

Hapana mkuu, wale wote wanaojifanya kutaka kuwasaidia wadada sio kama kweli wanataka wawasaidie. Kuna kuwa kuna agenda pale
Akishindwa kwenye term and condition kazi hapewi tena... Sisi wanaume mda mwingine tunakuwa kaa
 
mi naamini mwanamke akiwezeshwa ni sawa na kusema jamii imewezeshwa ko kama kuna kazi hakuna budi ila kutuwezesha tuko pamoja katika hili
 
hapo sijaona wakukusaidia ata mmoja, kwanini wakwambie uende PM kuna shida gani ya kuzungumza hadharani kila mtu akachangia la kwake, mbona wewe tatizo lako umeweka hadharani inakuaje kwenye kukusaidia wanakwambia uwa-PM, angalia thread za vijana wa kiume wanaotafuta kazi zimejaa comment za kejeli na kukatishana tamaa. "take care"
 
Ahsantee
 
dada kuwa makini nimetafuta kazi humu kwa miezi kadhaa
Ila ninachokutana nacho ni mitihani
Mtu atakuomba namba picha na kuitwa hotel
Ukizubaa umeliwa.
Kila la heri.
Ahsante Mkuu nitakuwa mwangalifu
 
Back
Top Bottom