Kuna ndugu yangu anatafuta kazi ya upishi wa vyakula, usafi kwenye makampuni, nk, amesomea Hotel management, na experience pia.
Naombeni mumsaidie, pia hata kazi yoyote inayo endana na hiyo asanteni.
Mimi nina diploma ya Library na record, hata kama shule yako haina library naweza nkakuanzishia library kwa ajiri ya wanafunzi kuazima vitabu au kujisomea ,pia kwa upande wa record management pia natafuta kazi nisaidieni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.