Recent content by MOn'goO

  1. MOn'goO

    What is sexy to you?

    Duu umenitoa jashoo, imebidi nitafute dictionary kwanza.. Shikamoo English
  2. MOn'goO

    Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

    Uoga Mzigo.... ingekua ndo ivyo warembo wote wangeenda kwa Mengi na Manji!!!
  3. MOn'goO

    Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Tunakula Honey kwanza.. moon baadae...
  4. MOn'goO

    Sex ni bora kufanya kabla au baada ya kuoa

    Sometyms mi naona sex ni njia nzuri ya kuwaconnect wapenzi otherwise mtakua wapendwa tuu... Anyway siku izi hakuna honeymoon... watu washakula honey sikunyingi wamebakiza moon tuu...
  5. MOn'goO

    mchumbawangu kanikimbia kisa napenda kumgegeda mara kwa mara

    Umasikini unakuita kwa fujo... We uonagi wachaga wenzio wanaacha wake zao rombo wanaenda mjini kutafuta hela!! jirekebishe... kugegedana kupo tuu tafuta hela kwanza..
  6. MOn'goO

    Kumbe wadada wa Vyuo (WASOMI) wanauza miili!!!

    Nani kasema... embu ihamishe sua uiweke mwenge uone balaa lake... Hauchelewi kusikia mpaka malecturer wanajiuza!!
  7. MOn'goO

    Wanawake jiheshimuni!

    Tatizo sio kujiheshimu... tatizo ni kutojitambua!! Ni ngumu kubadili dunia... Mkuu ombea tuu kizazi chako kiwe salama..
  8. MOn'goO

    Ametoa mimba nashindwa kumwacha

    Huwezi kua na future kama hujazaliwa bado... kwa lugha nyingine Haupo!!!
  9. MOn'goO

    Ametoa mimba nashindwa kumwacha

    My dear Heaven on earth.. Mimi ata utoe mimba zangu kumi siwezi kukuacha as long as bado tuna pendana..najua you did it for a reason... ndo maana nikasema mimba kitu gani!!!Huwezi ukamwaribia mtu future kisa mimba bana..
  10. MOn'goO

    Ni sahihi mtoto kushuhudia?

    Sio jambo zuri kabisa...
  11. MOn'goO

    Ametoa mimba nashindwa kumwacha

    Nawaonea huruma kwasababu ina wa affect kiakili na kimwili... unajua kuna watu mimba kwao ni mtihani mzitoo... Usipotumia kinga kitu cha kwanza mnachosemaga "Naogopa mimba".. hamuwazi ata HIV!!!
  12. MOn'goO

    Ametoa mimba nashindwa kumwacha

    Mimba sio mpango wa Mungu ila mtoto ndio mpango wa Mungu... Mimba kitu gani banaaa ata ng'ombe anabeba.. Mi binafsi nawaoneaga sana huruma wadada wanaoflash.. ila ujue anayefanya ivyo yamemfika kooni.. Anyway amua kwa makini... unaweza tafuta mwingine kumbe katoaga mimba 20 huko nyumaa...
  13. MOn'goO

    Njia zipi nipitie kulea mtot anaeishi katika mazingira magumu kisheria?

    Ni wazo zuri sana.. Endelea na moyo huo huo... Anzia ustawi wa jamii watakupa kibali then unaenda mahakama kuu kupewa hati ya uthibitisho ya kuasili mtoto..
  14. MOn'goO

    Jaman eeh,,yoyote ajuae things which increase Woman Sex Drive atuambie,,..!!

    Una mpenzi?? Au unataka nyege za maonyesho?? Kua seriaz!!
  15. MOn'goO

    Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi

    Miaka 22 tuu.. ata mboga haijakomaa... Mdogo wangu kwanza najua huna kazi na unataka maisha malaini, unatafuta magonjwa tuu... wanaume tumeumba matesooo na kuhangaika.. we endelea kukalisha nyago subiria kulelewa... KOMAAA!!
Back
Top Bottom