Recent content by Mongoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni sababu kwa nini hupati mpenzi wa kweli

    Asante mtoa mada kwa mada nzuri, be blessed
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

    Arrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrgh! Kuwa uyaone na sio maghorofa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuishi naye

    Duuuuuh! Kazi ipo kama ndo na mavyeo yote hayo nenda kwenye vyombo vya habari maana wengine hata bado hatuna kazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki nimguse.... msaada

    Wat a wise advice, umemaliza yote
  5. M

    JamiiForums Tanzania wanawake na mitazamo yetu kwenye mahusiano: kwa wanawake tuuu!!!

    Thanks for a word of encouragement mtoa mada umenifurahisha saaana be blessed
  6. M

    JamiiForums Tanzania wanawake na mitazamo yetu kwenye mahusiano: kwa wanawake tuuu!!!

    Asante dada mtoa mada kwa kunifungua macho maana nipo hapa nimejikatia tamaa kabisaaa coz I thought sex is love now I guess ntafanya vizuri next time, big up saaana kwa kututoa wengi shimoni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti Kuwekwa Nyumba ndogo tatizo nini?

    Nyumba ndogo wanaume nao mnachangia sanaaa, ila tunalaimiwa wadada eti tamaa, hapana, mimi nimekuwa victim and am very hurt nimekuwa na mkaka for three years bila kujua the guy is married na ana two kids, mie nipo dar kumbe yeye ana mke kijijini kwao na sjawahi hata kumhisi mwisho wa siku juzi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama unaishi Amerika ama Ulaya..Sio vema

    Huwa nasoma tuu uzi za watu huku ila ikinigusa sana kama hii nashindwa kuvumilia, wanaume wa aina hyo watu wawe nao makini mi huwa nawaona kama gays and to me they are disgusting!!!!!!! Arrrrrrrgh!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msada jaman tumedat alhamis ilyopita leo anasema ana mimba yangu.

    Mimba inajulikana kuanzia siku saba so inaweza ikawa ukweli au unaweza kuta hana mimba na wala hajapima ila anataka akupime akili kama unampenda au la na kama unampenda je uko tayari to take responsibilities of ur actions?!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwenza wangu amenipigia simu Nusu Saa iliyopita, Eti Hanitaki Tena.

    Pole sana mdada, najua inauma sana coz i was also in the same situation in the past two weeks, try to forget abt it and moove on maisha yanaendelea binadamu tunatofautiana mwenzangu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

    Thanks happy new year too@ Rutashobolwa, Huyu dada inavyoonekana anampenda aliyempa mimba na sio mchumba ake and she has made up her mind already hapa anataka confermation tuu ya alichokiamua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

    Kiukweli mimi sio mzoefu sana hapa jf huwa nasoma tuu uzi za watu na kuacha bila kuchangia ila hii ya kwako imenigusa, Pole sana mdada, i can imagine what ur going through sasa hivi, am a woman na najaribu kujiweka in ur position naona jinsi ilivyo ngumu, ila usiolewe na mtu eti for the sake of...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hello!

    Thanks
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hello!

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo, am new here just greetings
Back
Top Bottom