twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Dume zima anaenda ukweni amevaa hereni kisa anaishi Amerika.Hii ni aibu kwa kweli na sehemu nyengine mke humpati ng'o.Tuache ulimbukeni.Tuenzi tamaduni zetu.Kuna mtoto wa kigogo wa yale mambo ya vipichu(Lungande) nimetonywa anafanya engagement party saivi na mihereni yake kila mtu anamshangaa..Na hili tukio ndo limenihamsha kuanzisha uzi huu.Nisingependa ku-base kwenye personal attacks ila naamini message sent and delivered to all.