Recent content by monge wakuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania wadau hii inakuwaje?

    Yani unakuta unakubariana na mtua kumfanyia kazi tena kwakukubembelezaAn unafanya kazi ukimaliza tu kukulipa anaanza kukupiga sound, inapotokea hivyo unapaswa kufanyaje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa mziki Tanzania kwa nini lakini? Tazama picha ya nyumba ya babake 20%

    Huyo mzee nimemkubari kwakudesine hiyo gorofa ya miti kwa kitaalamu tunaiweka kwenye kundi la timber structure mzee big up.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vitu 10 Mwanamke anavyovipenda na ni kero kwa Mwanaume...

    Hayo ndo mambo yao na ukiyaping tu ujue mmekosana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na article hii nzuri by Vitali Maembe

    kazi ipo kaka angalia waheshimiwa wetu wacje wakaiona hii hotuba yako maana hawapendi wa2 wenye mtazamo na uelewa kama huu. Wacje wakakuinterijensia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tuendako idadi ya mikoa itakuwa sawa na makabila.

    jamani hii hali inaboa, yani hakika hata Nyerere angelifufuka leo hii bac naamini atatamani kufa tena kwa madudu haya.
Back
Top Bottom