Recent content by money02

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Exactly
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Binafsi nimefurah Mkuu kutuletea somo zuri aseeee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Tunywe maji chief
  4. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kaza moyo, wewe ni Mandela wa Tanzania

    Dah! Umenena kitu Mkuu, hadi nimekuna kichwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

    Nurse mwenye diploma analipwa 680000 kama clinical officer
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

    Unawaza ngono tu, hukumbuki sodoma na gomola walivyoangamizwa, Jehanamu itakuwa inakuita wewe siyo bule. Alafu uanze kujiliza Ooooooh maisha magumu wakati unawaza ngono. Mkumbuke Mungu wako siku za ujana wako maana zinakuja zilizo mbaya zaidi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uume kusinyaa wakati wa tendo

    Uwiiiiiiiiiiiiii me mnanivunja mbavu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati, meza, TV, Camera, Sofa nk

    Peleka kariakooo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mademu Huwa Wana Maswali Ya Ajabu

    Umetisha aseeeee
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R.I.P ndugu Yetu, M/Mungu akuweke mahali pema peponi... Amina.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Uchumi umenichanganya kwenye hotuba ya Mh. Rais huko Kenya

    Acha unafiki PTER, Mweshimiwa Rais hata aongee vitu vya maana na vya msingi wewe huwa ni kuponda tu.! Binadamu bna, unataka awe anakuletewa kilo ya nyama kila cku! Seeeeeeeee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kusearch matokeo kwa index no

    Na kwa yeyote aliyepata uhamisho Chuo cha Rao health collg tujuzane
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kusearch matokeo kwa index no

    Mmmmhh!! Pole endelea kuvuta Subira japo walisema wanatoa majibu ndani ya masaa 48 yan juz na jana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kusearch matokeo kwa index no

    Wametuma kwa wote mfano mm wamenitumia Jana saa nne ucku
Back
Top Bottom