Ndipo changamoto nadhani hizo familia ziyamalize tuu kwakuwa mali zilitakiwa ziende kwa watoto wakae chini wafanye maamuzi sahihi na sio muda wa kutaka kuonyeshana ubabe tyr wana watoto wanne sasa huoni watoto ndiyo utasikia ndg wa baba sitaki kuwasikia
Yule ni mzee tuu sjui nani kamshauri...
Na Jane akasema akifa asizikwe kwa mwanaume!!!!
Jane alikuwa keshahisi harufu ya kifo kwa kutishiwa na jamaa kabla ya hapo.... Na wasiwasi zaidi ni pale alipobadilisha hati hivyo nafsini akijua huyu hatoniacha salama plus kutishiwa ikawa kweli
Wengi waliowahi tishiwa kuuawa deal linatiki ni...
Kuua inategemea tukio lilitokea before or after marriage halafu kingine sisi tutasema aliyeuwa ni x, hivyo kwakuwa unaolewa na y utahusika vipi sunajua tena usoni na usasa plus penzi la moto lzm mpofuke
Unachokioona hapo ndiyo mivutano ingetokea leo ama baada ya mazishi kutoka kwa kina Urassa na ndiyo maana hazikwi kwa wote wawili zaidi ya makaburi ya kanisani kueka balance
Hawa wanaropokwa tuu hatuhalalishi mauaji wala maamuzi ya Jane Vs Kweka
Hilo lililotokea linaonekana kama nuksi laana n.k na familia hiyo inadaiwa ni ya mwaga damu Kweka's mbali na hili taarifa nimeipata manushi sinde
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.