Recent content by Mondingo

  1. Mondingo

    Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    mimi naota napambana na watu alafu nawashinda wanaondoka mda mwingine wanarudi nawashinda tena ila tu sura zao sizijui,mda mwingine mpaka naamka kabisa na kuwasha taa moyo ukienda mbio,hii itakuwa ni nn na je nifanye nn ili niwajue sura zao??
  2. Mondingo

    Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Mla cha wenzie pia chake huliwa,usijione mjanja mchunguze mkeo pia nae kuna jamaa anampakua malipo hapa hapa mzee..
  3. Mondingo

    Popo kanyea mbingu, style maarufu

    Ungetuwekea japo kapicha mkuu wengine hatujui hii style.
  4. Mondingo

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Pole sana mkuu,maisha lazima yasonge muhim zingatia dawa.
  5. Mondingo

    Kuanzia leo nitakuwa Na deal na madada poa tu

    Hayo ndio maamuzi ya kiume sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mondingo

    Hodi wanaJF

    Naomba kukaribishwa ndugu zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom