Recent content by MOMS

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu uamuzi wa MCC kusitisha mahusiano na Tanzania

    Waendelee na matamko tu, nchi itasonga mbele kama kawa
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM yavunja upinzani Singida, CHADEMA 121 watimka

    Hakuna gazeti la ukweli kama mwananchi. Tatizo Chadema ipo zaidi kwenye jamii forum
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro waitikisa CHADEMA!

    Kwani wazabuni wanachaguliwa na nani? Tuchambue kwa kujenga sio kwa nia ya madaraka tu. Halmashauri zinazoongozwa na chadema zilitakuwa kuwa mfano.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro waitikisa CHADEMA!

    Ufisidi ni ufisidi hauna ufisadi mkubwa wala mdogo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Mtu yoyote ambaye ana uchu wa madaraka anachofanya Kinana ataona ni kilele, lakini kama mtu ana nia njema na nchi yake atasikiliza na kutafakari.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

    Moja kwa moja wameguswa CDM kwa sababu wao asilimia kubwa ya viongozi wao ni kutoka kanda ya kaskazini, kanda zingine wanataka wapate kura tu.
Back
Top Bottom