Paskali wakianza naomba ukawaulize mbona ulipoandika ile makala ya kuwata watu wamtetee mtukufu kutokana na kauli za kina The Economist mbona hawakukuita ujieleze? Au wao wanataka sifa, utukufu na mapambio tuu!?? I
Hivi kweli jamani kipaumbele ni uwanja wa mpira jamani kweliiiiiiiii??? Hivi huko Luangwa kuna maji safi ya kutosha? Hospitali zina facilities za kutosha? Shule zipo za kutosha na facilities zake? Hivi sisi huwa tunafikiri kwa kutumia nini jamani?? Au vichwa ni kwa ajili ya kufugia nywele...
Bla bla bla.... Labda kwanza tuanze na kueleweshana maana ya neno uzalendo. Je uzalendo ni kumtetea raisi anapoongelewa vibaya?? If that's it, basi wengi suo wazalendo. Lakini kama uzalendo ni kudai katiba iheshimiwe basi Paskali umejichanganya vibaya sana. Badala ya kulilia watu waanza...
Moro kwa hovyo kweli. Kule mjini ndo oa ajabu ajabu, ki stand cha daladala kidogoo, vibarabara vyembamba, soko kuu chafu chafu sana full matope. Yani mji wa hovyo sana
Mwakyembe ni jipu kuu ambalo watu wa Kyela sijui wana-manage vipi kulivumilia. Alipaswa asichaguliwe muhula wake wa kwanza tuu ulipoisha. Hakuna la maana analofanya. Afu qanasaidia watu anawaletea figisu. Mxeeuuuuuuu zake
Naona umekosa pa kupeleka hasira zako. Mada ni kuhusu huyo bwana Fulton, wewe umeanza kuleta bitterness na frustrations zako hapa. Kuanza kutukana watu bila sababu. Kama ulikutana na mwanamke malaya from Kyela ndo ujumuishe watu wite!? Uncultured swine...
Lazma ulipigwa kibuti halafu ukanyang'anywa vitu vyote na kufukuzwa kama mbwa na mwanamke kutoka kyela. This bitterness is too much. Go get a life... Shame on you. Mxeeuuuuuuu
Hahahahaha nimecheka jamani, eti mada ya ki-mnyeti, yani u made my day. ila ungesema mada ya kinyeti [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mzee sijui kama unaelewa top officials wa serikalini wavofanya kazi kwa hofu na kujipendezeka awamu hii. Vituko tunavyovishuhudia huku unatamani kulia na kucheka kwa wakati mmoja. Watu wako terrified, wako terrorized hadi mtu hata amuzi dogo tuu anawaza what if mkuu akija kuniuliza hapa... Yani...
Elimu bure hii hii ya shule moja yenye wanafunzi 500 na mwalimu mmoja? Hii hii ya wanafunzi wanosomea kwenye madarasa ya manyasi au chini ya mkorosho? U kidding Paskali. c cm haitoondoka madarakani bila kufurushwa
Ingekuwa nchi za watu wanaojitambua, hao viongozi ilipaswa wapokelewe na mabango ya kulaani na kukemea hibo vitendo.. Yani wasingekaa kwa amani hapo kama wameenda kuhani msiba wa kawaida. Laana iwe juu ya wote waliohusika na kitendo cha kikatili hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.