Unatakiwa kujua kuwa ccm Ina wenyewe ,hata chadema pia Ina wenyewe .
Sasa wenye chadema Yao sio LISSU , HECHE Wala LEMA.
LISSU na LEMA walikaribishwa chadema kutoka vyama vingine iweje wamseme vibaya mwenyekiti wao Kwa kuwa alimpokea LOWASSA kutoka ccm ?
Wenye chadema pamoja na Mbowe wasimame...
Mwanaume unapokuwa na mahusiano na mwanamke ambaye amekuzidi umri , Kwanza mwanamke lazima hatakuwa muwazi kwako , kitendo cha mwanamke kuwa muwazi kinajenga uwaminifu wa mwanaume kumpenda sana yule mwanamke tofauti na mwanamke akiwa na mausiano na mwanaume aliyemzidi umri mara nyingi mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.