Recent content by moma2k

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Shabiby Bus Acheni kukera

    Mimi ni mteja wa Shabiby bus service kwa muda mrefu. Kiujumla wako vzr. Mpigie meneja, yuko smart sana. Anatake action mara moja. Ishu ya muziki mkubwa usiku ni kitu kibaya in any way. Huo ni uzembe ya konda, siyo dreva, wala kampuni. Makonda wa usiku wapewe general instructions kwa usiku mziki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hukumu ya kesi ya Mwana FA dhidi ya TIGO imeripotiwa kwa makosa?

    Rufaa walikata akina FA&AY. Mahakama ya Rufaa imeirudisha kesi Mahakama Kuu alikoshinda Tigo. Je nani ameshinda?
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kuitisha Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtandao, Je ni njia ya kuwakwepa/ kuwaogopa Wajumbe?

    Wazo zuri sana. Ndo maana NINAIPENDA CCM YANGU. We are in the digital era. Kwa nini kuingia cost kubwa ya kusafirisha wajumbe? Hongera sana MAMA SAMIA kwa ubunifu huo. Pili, majina ya wagombea wote yapigiwe kura na wajumbe ili kuleta HAKI. Mtu asikatwe kabla ya kupigiwa kura. Kura za wajumbe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Polepole ni TAPELI SUGU LA KISIASA. Mnafiki,mjinga. Ana njaa zake. Kenge mkubwa. CCM LAZIMA TUMFUKUZE HUYO!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

    Polepole ameongea PUMBA kabisa. Alikuja kwa mbwembwe, kumbe rubbish.
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

    Nilishasema Fr. Kitima ni KADA KONKI wa Chadema, toka alipokuwa SAUT. Na anatumia TEC kuendesha kampeni ya siasa ya Chadema. Let us be honest,Kitima ni mwanasiasa pure. Hafai kuwa kiongozi wa kiroho. Huo ndo ukweli.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    My friend msemo huo ni wa zamani sana, nyakati za middle Ages. Haupo tena. Umebaki kwako tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    Baadhi ya watanzania WANAABUDU masaskofu/wachungaji wao. Nenda kasome kitabu hiki, "The Role of the Catholic Church of Rwanda in the commission of Genocide Crimes in Rwanda." Hapo utajua upuuzi wa hao viongozi wenu wa dini. Rubbish!
  9. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    Ni wapi nguvu zinatumika? Plz evidence!
  10. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    Umelewa dini. :Religion is the opium of the people" by Carl Marx
  11. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    Fake news! Endelea kulala usingizi wa pono. You know nothing!
  12. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    Huyo askofu uchwara alifanya kosa linalojulikana kama "utra vires", kwa kuitishia serikali eti iwaachie mara moja,bila masharti...Who are you? No body is above the government bwana! Huyo askofu siyo raia wa TZ! Hana uchungu na AMANI ya nchi yetu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    Hujui. Mahubiri yanawezaandikwa au kutoandikwa. The best practice nikuandwa na kusomwa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi. Vyombo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Huyo Padre Silvio Mnyifuna ni KILAZA/MJINGA sana darasani. Nilisoma naye. Canon law binds only catholics. Ni sheria za wakatoliki kwaajili ya mambo yao. Ukatoliki SIYO dini ya dola. Ndani ya Tanzania kuna dini nyingi sana kwa sababu ya UHURU WA KUABUDI haki ambayo ipo kwenye ibara ya 19 ya...
Back
Top Bottom