Recent content by mom abe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

    Hatujalazimishwa sio walimu wote tunasimamia uchaguz ni wachache sana wale wanaohotaji wanaomba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

    Shukran kwa ushauri
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

    Kuhama ni baada ya miez sita,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

    Mfano Musoma, Hanang, yaan wanatumia nguvu kubwa kushawishi na vitisho juu ili tu ukubali kusaini na kwa kua ss ni wageni lazima upate hofu ukubali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

    Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka? Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT? Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Kazi yetu ni kufundisha wanafunzi, hyo ya ukarani ni majukumu njee ya taaluma, acheni kutubeza, bila mwalimu usingeweza Ku comment hapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Seriously[emoji853]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Ss hatujawahi kutumika hvyo hao ni wenzetu waliopo kwenye system
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Shida ndo hii kuvurugana tu akili kwan wangeacha kutangaza ss tungewafanyaje?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Huu mwaka umekua mgumu kwa sisi walimu, tumeteseka sana kisaikolojia, toka January to December, tunasubiri ajira, japo tunajua hatuwez kupata wote ila tunatamani kuona hata hao wachache waajiriwe, ila hadi Leo mwaka unaisha hatuelewi interview itakwepo au laa, tunapeana tu propaganda mara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

    Hv kwa style hii kuna haja gani ya kua na ndoa, nini maana ya ndoa?? Mtu kisaikolojia tayari umeshajipanga kwamba unaenda kuishi na adui,unadhani utafika na huyo mtu wapi,? Wanaume sahv mmezidi malalamiko na wakati nyie ndio chanzo cha haya yote, mwanamke akikupenda kwa moyo wake wote usipoanza...
  12. M

  13. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala la interview ya sekretarieti inanichanganya

    Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
Back
Top Bottom