Leo nataka nitikise meza ya vinywaji vya gharama kubwa maana watoto wanazungumza kuwa whiskey ndio kinywaji cha gharama kubwa zaidi, sipo mbali nao ila acha niwaambie football ndio kilevi hatari na Cha gharama kubwa sana kwani kinahitaji moyo na muda kama malipo ya kile unacho taka kukishuhudia...
JIKUSANYENI WOOOOOTE!
Niwaandikie mshororo wa vina isiyo na mizani, niwaeleze kuhusu furaha ya soka na uchungu mkubwa wa mapenzi ya mpira wa miguu.
Ndio ule uchungu wa kuumizwa pale unapokuwa na kikosi kinachoaminika kuwa ni bora, halafu unakutana na mdhaifu anakufundisha jinsi ya kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.