Kama kuna Mtazania asiyemtambua Rais JK kama ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania basi uraia wake una kasoro.Jk kachaguliwa na wa tz wanaozidi million 5
Mimi nahitaji kuagiza gari [ Used car ] aina ya landcruser Vx toka Japani .tafadhali unijulishe itakuwa kiasi gani .Pia unijulishe taratibu zote ambazo zinatakiwa nizifuate ili niweze kupata gari hilo mapema.Mimi niko Mwanza kikazi.Kama kweli ameamua kutusaidia Wanajamii wenzako basi ile...
Tunashangazwa na mpambambanaji mkuu aliyejifanya kuwa kamwe hawezi kuhojiwa na PCCB kwa kuwa yeye anaelewa sheria na pia na Mwalimu wa sheria.yeye kwa akili yake alifikiria kuwa anamgomea EH kumbe anafunja sheria ya nchi.Sheria ni msemeno hajali kuwa aliyefunja sheria ni Dr. wa sheria kosa ni...
Ni aibu kwa wabunge wanaojiita wapambanaji wa ufisadi nao kujikuta wamenaswa na mtego wa ufisadi kumbe nao ni maafisadi ila walikuwa hawajapata nafasi hiyo ndiyo sababu wanapiga kelele ya ufisaidi.Sasa baada ya kunaswa wanataka kuhalalisha ufisadi wa kuchukuwa posho mara mbili kwa kazi moja...
Ni aibu kwa wabunge wanaojiita wapambanaji wa ufisadi nao kujikuta wamenaswa na mtego wa ufisadi kumbe nao ni maafisadi ila walikuwa hajapata nafasi hiyo ndiyo sababu wanapige kelele ya ufisaidi.Sasa baada ya kunaswa wanataka kuhalalisha ufisadi wa kuchukuwa posho mara mbili kwa kazi moja kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.