Recent content by Molina

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    Mbona tunao ujasiri wa kwenda mbele za Mungu nakueleza haja zetu na yeye akatujibu. Kiongozi wa dini akikwambia ivi hapo ujue si mahali salama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

    Mimi nilisafiri kwa bus Shabiby kutoka Dar adi Dodoma, Nilikua na week 37. Ila baada ya kufika Dodoma na kwenda hospital, pressure ukawa juu na nikaanzishiwa uchungu. Nikajifungua kabla ya makadilio na nikaambulia kisu kuokoa maisha yetu. Kwa uzoefu huu,sikushauri pia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

    Fungua PM mkuu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am looking a woman for serious relationship

    PM yako imefungwa Ebeneza.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Poleni na Shughuli za siku wana JF, Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi. Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea. Awe anajishughulisha na shughuli halali. Mwenye hofu ya Mungu. Asiwe mtumiaji wa...
Back
Top Bottom