Recent content by Moles_OG

  1. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtu anayefanya kazi NIDA Arusha

    Pole😂
  2. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtu anayefanya kazi NIDA Arusha

    Habari za wakati huu ndugu zangu, kwanza nikiri tu kwamba JF imekuwa msaada sana kwangu pindi ninapokuwa na issues mbalimbali, response imekuwa kubwa. Kwa leo nilikuwa naomba mawasiliano au kama kuna mtu anayefanya kazi ofisi za NIDA Arusha (Especially ofisi za Kisongo) ili nimuombe anisaidie...
  3. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hivi nitoke na para langu huku au nitamaliza nikifika huko? Vipi kuhusu nguo za kuvaa kipindi cha kureport, ni hizi za kawaida ama hizi track suit tutakazonunua?
  4. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Habari. Kwa aliyeko Arusha na amechaguliwa kureport makao makuu ya polisi, naomba tuwasiliane
  5. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

    Haivutii kusikiliza
  6. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Salute kwenu wakuu. Nimepitia huu uzi mwanzo mwisho na nimejifunza mambo mengi sana. Kwa kipekee napenda niwape mauwa yenu wafuatao: Mercenary2013 IDDY S MHANDO lugonopanja98 OCCID Dominik Na wengine wote waliotoa michango yao mema. Kwa wasomaji wapya muwe makini tu maana humu ndani kuna...
  7. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya jambo la kuwasaidia kwa watu wa makundi haya?

    Kabisaa, katika haya maisha tunayapitia mengi sana lakini kuna wengine wanayapitia mambo magumu ya ajabu lakini wamekaza na wametoboa, aisee usikate tamaa kabisaa, nyanyuka jiambie unaweza kuyashinda hayo unayoyapitia, manzee wewe ni mshindi
  8. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Nitapata kazi mwezi huu

    Ikawe hivo kwako na kwa wengine pia, Amen
  9. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya jambo la kuwasaidia kwa watu wa makundi haya?

    mkuu usikate tamaa, bado kuna nafasi nyingine
  10. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya jambo la kuwasaidia kwa watu wa makundi haya?

    Daah, uko na shauku kama yangu. Mara nyingi sana huwa naumia nikiona watu wengine wakiteseka, uwezo wangu sio mkubwa sana lakini kidogo nilichonacho huwa tunashare. Nawasaidia lakini bado naona moyo wangu haujaridhika, natamani kuwasaidia kwa ukubwa zaidi. Ipo siku nitafanya kwa ukubwa sana
  11. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Majina ya waliochaguliwa Arusha Mjini 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  12. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga Kinanda Arusha

    asante sana boss
  13. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga Kinanda Arusha

    🤣 🤣 🙏
Back
Top Bottom