Recent content by Mojtabai

  1. Mojtabai

    JamiiForums Tanzania Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

    Ukiwa kiongozi sheria ndio zinakufuata wewe Tz
  2. Mojtabai

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CWT makao makuu yamtelekeza mwanachama Dodoma

    Kwa hiyo wakati anaenda Dodoma aliwataarifu kuwa anakuja na hana nauli ili wasiende vikao wamsubiri? Na alisafiri akiwa hana hela akitegemea nini?
  3. Mojtabai

    JamiiForums Tanzania Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

    Tuhame mapema..hapo wanaharibu uliopo na hakuna wanachoboresha
  4. Mojtabai

    JamiiForums Tanzania KERO Watoa Huduma Ajira Portal hawapokei simu, tunashindwa kufanya mabadiliko kwenye portal

    Nafikiri hili ni kwa taasisi za serikali asilimia kubwa hazina huo utaratibu wa kupokea simu. Zimewekwa tu kama geresha. Nilijaribu kwa miezi kadhaa idara ya maji Arusha (AUWSA) aisee🤧🤧🤧🤧
  5. Mojtabai

    JamiiForums Tanzania Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

    Amruhusu tu. Inaweza kuwa ndio fursa ya familia yao
  6. Mojtabai

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Tanzania hakuna uchaguzi, ya nini kupoteza muda wako?
Back
Top Bottom