Kitu ambacho ccm wanakosea sana ni timing. Nina wasiwasi kwamba watanzania wengi wameshafanya maamizi -kuwarudisha nyuma inahitaji mkakati wa ziada sio propaganda alizotoa Dr Slaa. Kosa kubwa alilofanya Dr Slaa ni kujipambanua kama mamluki wa ccm. Hii inawauza zaidi upinzani zaidi ya kuwasaidia...
Mpuuzi huyu. Hao ndiyo watakao watoa ccm madarakani tena kwa hasira ya wewe kuwatukana. Mjipange upya kwa hoja na sio matusi.Lala manake ukiamka utamkuta Lowasa ikulu
Ukiona watu wanatumia jazba badala ya kujenga hoja ujue wameshashindwa. Naona wapenzi wa ccm tunatumia jazba kana kwamba tumeshashindwa. Tukubali tusikubali hii ni dakili njema kwa UKAWA.
Ukiona watu wanatumia jazba badala ya kuanfika hija ujue wameshashindwa. Naona wapenzi wa ccm tunatumia jazba kana kwamba tumeshashindwa. Tukubali tusikubali hii ni dakili njema kwa UKAWA.
Huu ni upotoshaji wa wazi wa ukweli. Ila ni kweli usio na shaka kwamba anaedhani kwamba masikini ndiyo anayefaa kuongoza nchi ni mjinga na amepitwa na wakati.
Ukichagua masikini si ndo mbaya sana mkuu. Tajiri haitaji kuiba tena ila kuwatumikia wananchi. Lowasa nadhani anafaa ukilinganisha wote wanaohitaji ccm. Na ccm wakikosea tu kumuweka mwingine UKAWA wamelamba dume. Kwa hiyo mjiandae kisaikolojia ama Lowasa au UKAWA kuongoza nchi.
Sijui ni lini Mungu atatukomboa kwenye lindi la ujinga na upumbavu. Hivi unapomchagua Ghasia kuwa mbunge alafu waziri kwa zaidi ya kipindi kimoja- utafiti unaitajika kujua kama watu wanaoanya hay maamuzi ni wazima wa akili au kuna nguvu ya ziada inatumika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.