Jwtz kwa hili kataeni tu lkn kutesa watu na kufanya matendo yalio kinyume na maadili ndio kawaida yenu, mkiishavaa magwanda munajiona kama askari wa motoni!
Ningewaona majasiri na kua mko makini kama mungekataa kuekwa under control ya american army ktk ujio wa Obama, hamuoni kua jinsi...
Ni kweli watanzania wanauawa kwa maslahi ya wachache na baada ya ziara ya Obama nafikiri watanzania wataumia zaidi kwa sababu mikataba ya kuitafuna nchi ikisha sainiwa rasmi kinachofuata ni vikosi maalumu vya kulinda maslahi ya mabwana wakubwa vitakavyokua vikiburuzwa na waamerika kufanya kazi...
Mimi naona bora mara 1000 kwa Obama kutozuru Zanzibar kwa sababu sioni wala sifikirii kua mwananchi wa kawaida atafaidika na ujio huu zaidi ya kupata idhilali tu na dalili ndio inaonesha hivyo, sirikali yetu iko dhaifu mno kazi kujipendekeza tu! Nchi hii ni ya nani mpaka eti vyombo vya ulinzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.