Ila kama mtu una uhakina na unajiamin ulichokifanya unaweza kwenda baraza la mtihan na kuomba usahishiwe tena upya ndipo utaona kuwa matokeo haya huwa yanapangwa na kwa shule zetu hz za kata ndo usiseme zinakuwa za mwisho kabisa walimu wachache hususan walimu wa sayans nakumbuka nilifanya mtihan...
Tunajua kuwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 ni mabovu mno na serikali imeamua kuchukua uamuzi wanafunz wote walio fail warudie mtihan, Program hii itakuwa inaendelea kila mwaka au ndio mwaka huu tu ? na katika suala zima la usahishaji mi nafikiri serikal kama serikal inapanga matokeo...
Always ushindani unaathiri upande mmoja inshort mwanamke hauwezi kushindana nae also kama ndo umependa ndo na amejua kama umempenda utaumia wewe ? Najua kila mmoja ataweka kichwa ngumu ndio mwanzo wa kutafuta kidumu then mtandao wa ngono unareact
Siku zote mwanamke ni mtu wa kudanganywa but angalia cha kudanganya kifanane na ukweli vilevile mwanaume unabidi uwe na nyama ya ulimi by doing so utamaliza utata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.