Recent content by mohamed_watitu

  1. mohamed_watitu

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

    Ukowahishwa unapona 😡
  2. mohamed_watitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Kuhusu swala la kuchanganyikiwa, watachanganyikiwa sana ... kwasababu wakiwa katika age ya 20....hua wanalinga sana wakiamini uzuri wa sura na umbo vitadumu ila baada ya kuchezewa sana ndyo wanaanza kutafuta MR NICE GUY wa ku settle nae ili wajenge familia conclusion: kama wanavyolinga katika...
  3. mohamed_watitu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Hivi inakuaje kijana wa miaka 18 unaenda kukaa na kulala kabisa kwa mtu usiemjua kisa tu umegombana na mzazi nyumbani ? waanze kuulizwa kwanza hao vijana wanashida gan mpka wajiachie kabisa kwenda kulala ndan kwa wanaume wenzao ilhal hawajuani #hata hao vijana wanashida km wangekua watoto wa...
  4. mohamed_watitu

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapenzi na pesa

    Mapenzi sio pesa hatujakataa ila ikiwepo ni vizuri zaidi📌
  5. mohamed_watitu

    JamiiForums Tanzania Mzazi asiyejielewa ndiye atampeleka mtoto wake Pre-form one

    Kweli kabisa .....walimu wengi wanaangalia maslahi tu mtoto akimaliza hana kitu kichwan
Back
Top Bottom