Recent content by Mohamed Said

  1. Mohamed Said

    Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

    Mrangi, Mimi ujuzi wangu uko katika political history ya Tanganyika. Nimetafiti na kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika. Nina vitabu na academic papers nilizowasilisha vyuo vikuu ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Haya mengine siyafahamu.
  2. Mohamed Said

    Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    Kichuguu, Mimi huwa sifanyi ubishi kwani ubishi hauna tija yoyote. Mimi hupenda kusomesha yale ambayo si wengi wanayajua. Ikiwa wewe unaona African Association haina uhusiano na TAA na TAA haina uhusiano na TANU sitakubishia. Sikubishii kwa kuwa hadhira yangu ni kubwa na ina wasomaji na...
  3. Mohamed Said

    Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    King... Baada ya mimi kuandika kitabu cha historia ya maisha ya Abdul Sykes Oxford University Press, Nairobi wakanitia katika mradi wa kuandika historia kwa ajili ya shule za msingi. Mradi huu ni wa kusomesha lugha ya Kiingereza na Historia kwa wakati mmoja kupitia vitabu vitakavyoandikwa...
  4. Mohamed Said

    Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mpaji... Huijui historia ya TANU. Nyerere hakuwa na wazee kama mwenyewe alivyoeleza. Soma hapo chini uwaone vijana wenzake aliowakuta katika harakati: KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION...
  5. Mohamed Said

    Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni historia ya Muungano wa Tanzania mwaka wa 1964. Akanifahamisha kuwa amesoma kitabu cha historia ya...
  6. Mohamed Said

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Ndugu zangu, UKWELI WA HISTORIA YA UJENZI WA MSIKITI WA MFALME HASSAN WA MOROCCO Sheikh Hamid Jongo katika video hiyo hapo juu anaeleza kuwa Msikiti wa Mfalme Hassan wa Morocco ujenzi wake haukuombwa na Rais Magufuli. Sheikh Jongo anawaeleza Watanzania kuwa msikiti huu uliombwa na Rais...
  7. Mohamed Said

    Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Pro... Angalia video hii: https://youtu.be/2mCbSXG88Pw
  8. Mohamed Said

    Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Proved, Angalia video: https://youtu.be/SiZ7ibE5mPc
  9. Mohamed Said

    Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964 Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962. https://youtu.be/SiZ7ibE5mPc
  10. Mohamed Said

    Kumbukumbu za Aman Thani katika video 2000

    Hixo clip zake zote 26 za Mzee Amani Thani 👇 Marhem Bw. Amani Thani akihojiwa na Prof Ibrahim Noor katika mwaka 2000 Part 1 Mwaka wa Mwanzo Jela https://youtu.be/3GZE7Olxf5M Part 2 Kufungwa Miaka Kumi https://youtu.be/ZogqTP-DU0w Part 3 Jela ya Langoni https://youtu.be/X8o0o9KRHPs Part...
  11. Mohamed Said

    Constantine Oswald Millinga: Mmoja wa waasisi 17 wa TANU mwaka 1954

    Nos... Angalia hii video: https://youtu.be/2mCbSXG88Pw
  12. Mohamed Said

    Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie

    Kibol, Unapitwa na mengi sana. Leo nimemzungumza Mshume Kiyate katika Maadhimisho ya Ukombozi wa Nchi za Kusini Mwa Afrika: https://youtu.be/AbmS6duP4T4
  13. Mohamed Said

    Historia ya Ali Hassan Mwinyi kama Rais haiko wazi

    Nguruvi3, ''...tuna mnasihi Mohamed kutosema ''Historia yake ni ya kweli' kwani ni kujimilikisha na hilo si sawa. Watu waandike wasomaji wataamua.'' Mnaninasihi. Sijui kwa nini unawajumuisha na watu wengine katika kauli yako hii. Kwa ni isiwe wewe ndiye unanisihi? Mimi ninaposema kuwa haya...
  14. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya Ramadhani 8

    KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 8 : MFUNGO MOMBASA NA SHARIFF SALIM ABDALLAH (SAL DAVIS) NA SHARIFF MUHDHAR KHITAMI 2009 Ndugu zangu hawa masharifu wawili wote wanatoka katika koo kubwa na maarufu mjini Mombasa. Baba yake Shariff Salim Abdallah maarufu kwa jina la Sal Davis alikuwa memba wa LEGCO...
Back
Top Bottom