Pia Pana uwingi wa makahaba ambao huwezi jua kama ni makahaba. Kuna bar moja Nilikwenda inaitwa hazina nilishangaa kuona idadi ya wahudumu inazidi idadi ya wateja nilipouliza nikambiwa hizo ni kachumbali naweza jichagulia
Hakuna ambaye ametoka kimaisha through betting wanapata hela ya kula na starehe tu. Ila sipati picha mwisho wake ukoje maana sasa kila mtu anataka kubet. nilishangaa kuna dada mmoja naye anataka kubet hata mpira haujui na haijui team hata moja alafu Anaomba mshikaji ambetie. Nilishangaa...
Ujinga na umaskini wa watanzania ni mtaji wa mafisadi. nimeipenda hoja mtoa mada inaonesha ni miongoni wa great thinker waliobakia jf. tuwe na uwezo wa kutafakari jambo kwa kina sio ushabiki wa kisiasa unaosababishwa na njaa zetu. hii nchi hatuwezi kuendeshwa na akili ya mtu mmoja kwa...
Ninachowasifu watanzania ni kupenda u b ishi pasipo kufanya utafiti. nahisi pengine lengo linakuwa kumshambulia mtoa mada. Na pia tunapenda kuja na ushahidi wa vijiwen.. na pia kama mtoa mada alishow weekness kidogo ktk hoja yake basi ndiyo inakuwa sababu ya kufanya kuwa hajui kitu kabisa...
Wanaaibisha wasomi wa nchi. hiki chuo wanasoma masomo mangapi. jumapili wako loose hadi waanaandama kwenda kusaka wagombea urais haya kuna vyuo kama MUST huwezi kuyasikia
Hapo hafunguliwi mtu mkutano utakaofuatwa ni kuchuja wagombea Yaani tayari fomu zitakuwa zishachukuliwa. sasa hivi ukikutana na vijana wale wanajiita friendsf of Lowasa au mamilioni ya El kamata mkwanja piga hela hakuna kwa kuulizana maana siku ya mwisho itakuwa kama ni kipa kajifunga mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.