Recent content by Mohamed Mwaupete

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Mwigulu Mwigulu Mwigulu atosha 2015
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za watajwa tajwa mbio za Urais na sintofahamu kwa Watanzania

    Mwigulu anatosha sana kwa sifa hizo hapo juuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CUF wamewawaekea pingamizi CHADEMA Serikali za mitaa Geita

    katika hali ya kutoeleweka hapa mkoa wa Geita cuf imeweka mapingamizi ya kwa wagombea wa Chadema mtaa wa lwenge na Mission katika serikali za mitaa. My take. Hivi Ukawa imekufa!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Sambaza ujumbe huu kwa watanzania vijana wengi zaidi. Kwamba sio kwamba tunawabagua wazee wetu hapana ila tunawashukuru sana kwa utumishi wao uliotukuka kwetu. Kwa unyenyekevu na mapenzi ya dhati kabisa tunaomba sasa tuwapokee kijiti nao wale matunda yetu sisi watoto wa damu zao. Ni aibu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Unamchukia asiekufahamu!!!! mwigulu ni mzalendo wa kweli hapa Tanzania.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Nassari anamkubari sana Mwigulu Nchemba.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    ujumbe huu kwa watanzania vijana wengi zaidi. Kwamba sio kwamba tunawabagua wazee wetu hapana ila tunawashukuru sana kwa utumishi wao uliotukuka kwetu. Kwa unyenyekevu na mapenzi ya dhati kabisa tunaomba sasa tuwapokee kijiti nao wale matunda yetu sisi watoto wa damu zao. Ni aibu kuendelea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    hongera Mwigulu kwa kutetea maslahi ya Taifa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    mwigulu ni jembe la taifa na sio zwazwa kama wewe Aunt.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    sawa hata mwigulu haitaji wapumbavu kama wewe kwenye Mkutano wake.musoma oyeeeeeee kesho ndani ya Mkendo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    sawa Aunt but karibu sana kesho mkendo uwanjani na tunakukaribisha sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Hapana Mwigulu ni Jembe la Taifa la Tanzania.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Jana hii Mwigulu akichangia Bungeni. Mwigulu Nchemba: Ukububwa wa jambo tunaongelea maadili na maslahi ya watanzania, nitajikita eneo linalogusa wizara ya fedha. Nazipongeza taasisi zote zilizoshiriki kwenye ripoti hii(anazitaja). Tangu utaratibu huu uanze, chimbuko la ripoti hii ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Mwigulu saaafiiii sana go go go go mwigulu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

    Tunakusubiri kwa hamu sana hapa Mkendo Rais wetu 2015 wa Jamhiri ya muungano wa Tanzania. Tunaimani na Mwigulu Nchemba.
Back
Top Bottom