Recent content by Mohamed millanzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Agenda 5 za upinzani za kutokea mwaka 2024 na 2025

    Ahadi ya mishahara isiyotekelezeka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape, huwezi kushindana na TEC

    Kifungu nambari 3,4,5,6,7 katika hoja zako ni za kipumbavu tu.Serikali haiwezi kumpa mwekezaji then isipate kitu.hayo alifanya Mkatoliki Mkapa na Kanisa katoliki lilikaa kimya.Nyaraka za Kanisa vipindi Waislamu wanakua madarakani tumechoka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Sasa Mbowe kaungana na mama.sisi tufanye nini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Mi naiona chadema kama inapatwa na kiwewe hivi.au wenzangu mnaonaje.Huyu Kijana Zitto ataua watu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

    Na chadema mmeanza tabia ya kusombelea watu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

    Chuki za watu wa chadema kwa Zitto zinaonekana dhahiri.Hawazifichi hata kidogo .mh.
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    ACT haina haja ya kuibomoa Chadema kwani sera na mpangilio wa hoja zao zinamvutia kila atakaepata fursa ya kuwasikiliza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

    Msimalize maneno wana chadema.Mbowe atahutubia hai
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

    Kwa hawa wanasiasa waliopo sasa Zitto anafaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

    Kama kuna watu waliteswa na kuumizwa lazima tume ya uchunguzi iundwa.Kumjadili Zitto badala ya hoja yake ni upungufu wa akili au upeo mdogo wa kufikiri.Zitto yupo sawa kwenye hili. Malalamiko ni mengi tume iundwe kweli rejeeni mkutano wa TCD.Wachangiaji wengi walikosoa mwenendo wa uchaguzi kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Acheni Uadui na kila mtu! Hivi nani mzuri kwenu?

    Kwa unavyoona na wengine wanaona NCCR
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Tuliichukia Marekani kwaajili ya kuvamia nchi za wanyonge .Na kubadilisha serikali za nchi hizo bila ridhaa yao.na kuweka vibaraka. Leo matendo mambo yaleyale tuliyomlaumu Marekani anafanya urusi kwa nchi ndogo na masikini kama Ukrein.Na sisi tunashangilia.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Vidhibiti hivi CHADEMA wamepatwa na nini?

    Chadema ndivyo walivyo.Wakifanya wao lipo sawa .Jambo hilohilo wakifanya ACT utasikia ccm B.Ah yaani wanajidhalilisha sana. Mimi sasa naacha kabisa kuwazingatia.Maana hawaeleweki wanasimamia nini.Zitto kaza mwendo watz wameanza kukuamini na wamejua madalali wa siasa ni kina nani.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

    Tumekopa mikopo ya cgr na standard g yote ni ya bara.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukistajabu ya Odinga kujiapisha kuwa Rais wa Kenya mwaka 2018, utayaona ya Zitto na Baraza Kivuli nje ya Bunge.

    Zitto kiongozi wa ACT na hii ndio mipango yao. Cdm nayo ije na mipango yake'na sio kukosoa mpango wa chama kingine kisha wewe huleti mpango wako hiyo ni chuki dhidi ya Zitto.ni upoyoyo.
Back
Top Bottom