Recent content by Mohamed Ismail

  1. Mohamed Ismail

    Imani ya pamoja hujenga upendo

    Imani huleta upendo
  2. Mohamed Ismail

    Imani ya pamoja hujenga upendo

    Huwa kuna mstari mwembamba kati ya kujikweza na kutoa hamasa kwa watu wengine. Nikaamua kurejea kwenye hekima za wahenga. Kuna ambao walisema " Nyumba haijengwi na mtu mmoja" na wengine wakafikiria zaidi kwamba " umoja ni mshikamano na utengano ni udhaifu". Wengine wakatutahadharisha zaidi...
  3. Mohamed Ismail

    Heshimu kila mtu, watu ni walewale - Dotto Biteko

    Anaandika Mo Mlimwengu. Heshima si utumwa ni miongoni mwa hekaya za wahenga. Waliona umuhimu wa heshima kwamba kumuheshimu mtu haikufanyi uwe mtumwa wake, lakini bado wakaongezea kwamba 'Heshima ya mtu ni utu wake' unapoheshimu wengine unajijengengea heshima yako mwenyewe. Naibu Waziri Mkuu na...
  4. Mohamed Ismail

    Sam Nujoma kuanzia ukondakta hadi kuwa Rais wa kwanza wa Namibia

    Inawezekana ni mipango ya Mungu na juhudi zake binafsi.
  5. Mohamed Ismail

    Sam Nujoma kuanzia ukondakta hadi kuwa Rais wa kwanza wa Namibia

    Anaandika Mo Mlimwengu Ukisikia la mgambo ujue tayari kuna jambo, ni simanzi na majonzi kubwa kwa Namibia na bara la Afrika kuondokewa na mwanamapinduzi halisi. Sam Nojuma alizaliwa mnamo 12 Mei 1929 kijiji cha Etunda, Ongandjera, Ovamboland Kaskazini mwa Namibia. Ametoka kwenye kabila la...
  6. Mohamed Ismail

    ASANTE SANA ALLAH KWA 2024

    . Anaandika Mo Mlimwengu. Huyu huyu Mwenyezimungu muumbaji wa ardhi na mbingu. Huyu huyu ambaye ni Mfalme, mtakatifu, mwenye kutupa salama na kutupa amani. Huyu huyu anayeendesha mwenyewe mambo yake pasipo na msaada wa kiumbe yeyote.Huyu huyu mwenye nguvu na anayefanya jambo analolitaka...
  7. Mohamed Ismail

    CHADEMA ni Marhumu Ibn kuzimu?

    Ukigusa gari la watu utaambulia kupigwa makofi
  8. Mohamed Ismail

    CHADEMA ni Marhumu Ibn kuzimu?

    CHADEMA NI MARHUMU IBN KUZIMU? Anaandika Mo Mlimwengu. Waliamini lila na fila vinaweza kukaa pamoja wakapingana na wahenga waliosema havitangamani. Kila kitu kipe muda sasa hivi yako wapi? Huku kwetu huwa kuna msemo mmoja kwamba ' Enjobe erafa tehurila rukuli" kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni...
  9. Mohamed Ismail

    Heri ya kuzaliwa Daktari Emmanuel Nchimbi

    Anaadika Mo Mlimwengu. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na usione vyaelea ujue vyaundwa. Huwa ni nadra sana kupata viongozi washupavu kariba ya Dr Nchimbi. CCM inajivunia uwepo wake kwenye chama kama injini . Ni miongoni mwa watu ambao walipikwa wakapikika na wakaokwa tangu UVCCM na leo...
  10. Mohamed Ismail

    Kongole sana Muleba Ibin Kagera kwa kujisimamia vizuri

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati tunasoma shule kuna watu walikuwa hawana juhudi za kuzingatia masomo na wengi wao walikuwa ni watoro hata darasani. Walikuwa na nidhamu mbaya kwa walimu wao. Lakini ilipofika kipindi cha matokeo wote walikuwa makini kufuatilia matokeo yao. Na walivyopata matokeo...
  11. Mohamed Ismail

    PreGE2025 Kukuza demokrasia ndani ya CCM, kila mwanachama ashiriki kuamua kwenye kura za maoni

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii CCM kinabaki kuwa chama tawala tangu tupate uhuru. Tumeishashuhudia vyama vingi kwa Afrika ambavyo...
  12. Mohamed Ismail

    Mambo ya ovyo yanayoendelea UVCC mkoani Kagera

    Nimesoma na kusoma tena. Nimeelewa na kuelewa tena. Huyu ndugu Faris inabidi achutame afuate miiko ya kiungozi. Aache kuhemka atumie akili zake vizuri pasipo kukurupuka. Vijana wengi tunaponzwa na tamaa ya mafanikio. Huenda anaweza asiwe anahusika na haya yote ambayo katuhumiwa nalo lakini hili...
  13. Mohamed Ismail

    Ighondo ni Singida Kaskazini na Singida Kaskazini ni furaha.

    Anaandika Mo Mlimwengu. Penye nia pana njia na subira huvuta heri. Hii subira ndio imepelekea wakapata mbunge ambaye hata akiwa Dodoma moyo wake uko singida ila mwili wake uko Dodoma. Mh Ramadhan Ighondo ni mtu ambaye vitendo vyake vinazidi maneno. What a Mp? Jiimbo la Singida Kaskazini...
  14. Mohamed Ismail

    Kwani Makonda? Makonda ni Makonda

    Ndio ukweli wenyewe
  15. Mohamed Ismail

    Kwani Makonda? Makonda ni Makonda

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kila zama huwa zina nyakati zake. Siku zote lila na fila havitangamani na mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Maandishi haya ya wahenga yanafanya Makonda aendelee kuwa suluhisho la watanzania. Makonda ni mwanasiasa wa kisasa ambaye kajitofautisha na viongozi wengi sana...
Back
Top Bottom